Search results

  1. Maundumula

    Wacha nimpe darasa kidogo Mzee Jakaya Kikwete

    Wewe unayetaka kumpa somo JK tuambie uzoefu wako kwenye mambo ya siasa, diplomasia, serikali nk JK ni mwanajeshi, mwanadiplomasia, mwanasiasa, mbunge wa zamani na waziri wa zamani , rais mstaafu Naomba na wewe uweke wasifu wako tuwalinganishe halafu utaendelea kumpa somo mzee mwenzako
  2. Maundumula

    Miradi Mikubwa ya Bwawa la JKN na SGR Kama Kuna Udini Mbona Haijapingwa?

    Je unajua aliyewaleta hao ni nani? ulishasikia bwana yule akipingwa?
  3. Maundumula

    Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Tutajie kampuni mbadala ambayo itaweza kufanya kazi kwa ufanisi zaidi ukitupa na analysis ya benefits tutakazopata kwa comparison kati ya hiyo yako na DP ili twende sawa usiwe kama watoa matamko wengine.
  4. Maundumula

    Rais Samia Suluhu Hassan usikubali serikali yako ikawa Serikali ya kujibu hoja kwa vijembe

    Tatizo lenu huwa mnajazana ujinga na kufikiria wapiga kura wanatoka JF Endelea kuamini hivyo hivyo
  5. Maundumula

    Rais Samia Suluhu Hassan usikubali serikali yako ikawa Serikali ya kujibu hoja kwa vijembe

    Sasa niambie kuna hoja gani pale ya rais kujibu? Mimi naona wewe ndio umeleta vijembe
  6. Maundumula

    Tetesi: Machache aliyonieleza mfanyakazi wa TPA yana ukweli?

    Kungekuwa na mifumo imara rais asingehangaika na maziara ya kustukiza ya mchongo!
  7. Maundumula

    Wahadhiri kuomba kuongezewa muda wa kustaafu kutoka miaka 60 hadi 70

    Kama ana nguvu kiafya mhadhiri aendelee na kazi tu hata miaka 80 Hii kazi inataka sana uzoefu na experience za muda mrefu kwenye kusoma research nk
  8. Maundumula

    Ufugaji wa ngamia

    Kitongoji kinaitwaje?
  9. Maundumula

    Wakili Boniface Mwabukusi: Hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya ovyo kwenye Mali za Tanganyika

    Ukisoma mawazo ya JF unaweza ukafikiria ndio mawazo ya watanzania huku tunapoishi Yaani kuna JF halafu kuna nchi yetu pendwa ya Tanzania
  10. Maundumula

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Madereva WENU na wale wafanyakazi wanapakizana na kushushana sehemu yeyote! Tafadhali msifanye msaada shusheni vituo rasmi unless ni dharura kweli!!!!
  11. Maundumula

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    1. Kuna vile vibao vya kuonesha gari inaenda wapi kwanini vinaandikwa kwa mkono ilihali haya magari yanakuja na system nzuri ya maandishi ya ki electroniki? havipendezi na vinakaa kama uchafu. Kama mmeshaharibu zile system naomba watafute wachoraji wazuri wa vibao wachore vya kupendeza 2. Ubovu...
  12. Maundumula

    Ufugaji wa ngamia

    Habari chief Ulifanikiwa kupata ? na mimi natafuta Ngamia kama 2 tu Naomba msaada kama ulifanikiwa
  13. Maundumula

    Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    Hii stori tayari ina miaka 13 dah time flies
  14. Maundumula

    Bunge lisitishe kusafirisha abiria usiku, hali sio shwari

    Tatizo hamna maegesho mzee ukifika usiku wataegesha pembezoni ambapo bado ni njiani wanalala
  15. Maundumula

    Ajali: Tuambiane ukweli dhahama hili lituepuke

    Changamoto kubwa ni miundombinu Mbona kuna nchi hawana hizi speed limits watu wanapwiyanga tu na hawana ajali nyingi kama sisi Tutanue barabara zetu angalau tuwe na mbili kwenda mbili kurudi na wajitahidi kuweka taa za solar angalau kima KM 1 taa moja haijalishi ni wapi. Mfano barabara ya...
  16. Maundumula

    Kumbe mpaka sasa Fedha ya Serikali pia inaliwa na Watumishi wa Umma!

    Habari inasema 142M mleta mada anasema 142B
  17. Maundumula

    Kaya 644 Magomeni kota zagomea kusaini mkataba kununua nyumba

    Aliyejenga alisema wakae bure miaka 5 ikiisha watanunua kama wateja wa kawaida Ila wao sababu tayari wanaishi hapo wanapewa kipaumbele kununua
  18. Maundumula

    Kaya 644 Magomeni kota zagomea kusaini mkataba kununua nyumba

    Ukipata chumba na sebule Magomeni Mapipa mitaa karibu na zilipo hizo nyumba kiwanja rasmi kwa milioni hata 90 naomba nitafute kaka wewe nakupa yako 10M
Back
Top Bottom