I think the attorney General is acting in the best interest of the country by appealing the case, as he seeks to uphold the rule of law and protects the rights and safety of the citizens amd rocover its monies.
Think about the money it would save us if he wins the case?
TZShs. 309 bilioni.
In...
Yale yale: kukurupuka na kukimbilia nyenzo ambazo hatuna uwezo adilifu.
Nitakubaliana na Mheshimiwa kwa upande upande na wakati huo huo nitapenda kukemea kujisurutisha na kuwaweka wakulima wadogo katika madeni ambayo hayataweza kumsaidia kwa mda mrefu. Kauli kama hiyo, ni kukaribisha madeni, na...
I agree with Membe on many issues, and the theme which is "Bringing about adjustment or settlement of international disputes or situations by peaceful means."
And in the same context disagree with others who have recently used the UN platform to justify war instead.
I think the speech, clearly...
Wakuu,
Ni aibu kuona chama kinaendeshwa bila nidhamu. Na kama nidhamu ipo, basi wale ambao hawana nidhamu ndani ya chama wawajibishwe. Bila hiyvo, uongozi wa CCM wa Taifa lazima uwajibishwe kwa kutoleta nidhamu sio ndani ya Chama tu, bali hata serikali inayoshikilia na kuendesha. Kwa mlolongo...
Mkuu,
Matamshi kama hayo hapo juu ndiyo wanayotaka, mimi sioni, angalau kwa sasa kuwa Wachina wako kwaajili ya kutufilisi. Historia inajionyesha yenyewe. Sisi hao hao waafrika ambao kwa namna moja au nyingine, tumechangia kwenye nyanja nyingi Marekani, na bado "quid pro quo".
Nakumbuka wakati...
Inasikitisha kuona kuwa sasa tumefikia hapa, tena mara nyingi tu! Tukumbuke kwamba sasa hivi kuna wale ambao wanachekelea mdahalo huu, wanajua fika kuwa tumefika wanapotaka tufike.
Nitasisitiza kuwa muungano wowote ule ambao uko nje na matakwa ya mabepari na watwana wa magharibi(kama wapo)...
Huu ndio wakati muafaka ...maswali haya yangeelekezwa kwa wagombea wa sasa
Kama utachaguliwa Uraisi utaanza wapi kunyanyua hali za wananchi?
DK. Slaa?
J.K?
Mkuu,
Nimepumbazwa na hayo matamshi yake. Swali langu kama lake na kama limenukuliwa vilivyo... ...."hakuna wanofanya upembuzi yakinifu" kabla hajakurupuka na matamshi yake?
Maoni yangu, anaongeza nguvu ya wale ambao wanadai au kuona ilani hiyo haimsaidii mtanzania.(kama imepwaya)...
Wakuu,
Muokozi wa Tanzania ni sisi wenyewe, hakika kama tukikaa na kutafakari yote ambayo yametupita, tutaona kuwa ni sisi wenyewe "Watanzania" tumejifikisha mahali tulipo
Tunaweza kudai kuwa kuna walaghai, wala rushwa, watoa rushwa, na wengine wote walioturudisha nyuma, lakini wote hao bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.