CCM mmefikia wapi katika kujivua magamba ya ufisadi? Ya serikali itajieleza serikali yenyewe lakini ili maelezo yaridhishe, tupe hapa ahadi zote za Kikwete na CCM 2010 halafu utuambie zipi zimetekelezwa zipi bado. Maisha bora kwa kila mtanzania kwa hali hii ya gharama kupanda kila kukicha yako...
Juliana Shonza
Mbona unatuabisha wenzako. Yaani unatuhumu kwamba mwezi Disemba miezi sita baadaye kuwa Zitto alitaka kuwekewa sumu na Ben mwezi Mei, miezi yote hiyo hukusema polisi wala kwenye chama mpaka Ben awaumbue ni useme.
Halafu unasema kuwa aliwekwa kwa kutumwa na Dr Slaa huku...
Acha propaganda za uongo. CHADEMA sio mwanachama wa Christian Democrat, kama hujui siasa za dunia fahamu kwamba vyama vya kundi hilo ni vya umoja unaitwa Christian Democrat International (CDI). CHADEMA ni mwanachama wa International Democrat Union inayohusisha vyama vya kidemokrasia vingine vya...
Huyu kweli hayawani! Hizo za propaganda zao za picha za Libya zimenikumbusha madai ya Katibu Mkuu wake Mukama kwenye uchaguzi wa Igunga kuwa CHADEMA imeleta magaidi kutoka nje ya nchi Iran, Libya nk. Halafu mahakamani mtu mzima ovyo akayakana maneno yake.
Asha
We Polisi, si uende huku ulipoelekezwa kwenye mkutano ukamuulize hilo swali akujibu? Ndio nyinyi mnaalikwa kutoa maoni mnakacha mikutano halafu wengine wakifanya maamuzi kwa niaba yenu mnalalamika na kupinga baadaye.
Asha
Nimesoma kwenye mtandao wa gazeti la serikali la Habari Leo kuwa Waziri Sophia Simba amesema kuwa Salma Kikwete hakuitumia WAMA kwenye kampeni za uchaguzi mkuu wa 2010. Nikatafuta Salma Kikwete+WAMA+Kampeni na nikakuta ushahidi kuwa Waziri huyu amedanganya bunge.
Ushahidi mmojawapo ni huu:Mama...
Radhia, una lako jambo na Mnyika; kama alilialia basi hilo ndio haraka ungelisema. Ulichaondika mwenyewe ni Clouds Fm ndio ambao wamekuwa dissappointed. Kuna nini kati yenu?
Asha
Sasa hapa ana kosa gani jamani? Radhia umesema hiyo ni private life yake, sasa kama ni private kwanini iulizwe kwenye media ambayo ni public? Si ungeenda tu kumuuliza yeye mwenyewe binafsi angekujibu badala ya kumhoji kupitia Clouds Fm? Kwani ilikuwaje tukio zima na limetokeaje?
Naomba...
Tumeanzi vipi jaji Dourado aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar akiongoza Mahakama ya Kazi ya Zanzibar aliyefariki hivi karibuni?
Dourado aliwahi pia kuwa Mwanasheria Mkuu wa kwanza wa Zanzibar mara baada ya mapinduzi ya mwaka 1964 na baadaye kuzaliwa kwa taifa jipya la Jamhuri ya...
Nilidhani hii habari ni tetesi, kumbe kurugenzi ya habari na uenezi ilishatoa taarifa rasmi kwa vyombo vya habari,
"Kamati ya Wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imemuteua mbunge wa Mbozi Magharibi, David Silinde kuwa Kaimu Katibu wa Wabunge wa Chadema, kwenye mkutano wa...
Jussa,
Amemshindwa Tibaijuka sasa wahamia kwa Mshimba. Tupe hapa matokeo ya uwakilishi ya mwaka 2010 tuone kama CUF haijaangukia pua. Mbona umerukia matokeo ya Ubunge wakati uchaguzi ulikuwa wa uwakilishi? Unalinganisha visivyolinganishika. Kama suala ni mgombea yule yule mbona Igunga mliweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.