Kwa Z series wamejitahidi ila kwa hizi nyingine ni bado sana na wangeendelea "kukomaa" nazo wangeweza kuishia pabaya.
Nimepata kwa Tsh. 250,000/=. Baadaye nikiiona na ikawa kwenye good condition kama anavyodai, nitainunua.
Ahsanteni. :coffee: :coffee: :coffee:.
Nyie watoto wa BRN na GPA bila ya maelezo mengi kuelewa ni vigumu kwahiyo kuelewana ni hadi kwa mifano mingi. Mtu mwenye akili anaweza kueleweshwa kwa sentensi moja akaelewa.
Hebu angalia wewe mwenyewe, hereni unaiita "heleni".
Kuna mtu anauza used Z30 kwa 380,000 halafu ninunue used Q10 kwa 400,000 nina kichaa?! Simu used ya 400,000 unaifahamu mkuu? Au wewe wa kishua unaangalia bei za Mlimani City?
Sipendi simu za touch that's why sijawahi kuzitumia, huwa natumia BlackBerry tu!
Nilitoka kwenye 9300 now natumia 9900...
Wewe mwenye akili za kikubwa unayeshinda kwenye mitandao ya kijamii (Jukwaa la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki) ndiyo unajitambua?!
Nikifikisha umri wako halafu nikawa ninashinda kwenye mitandao ya kijamii nitajipiga risasi ya utosini.
Hao walioi-Produce hiyo movie si ndiyo waliokuletea Bible na kukueleza kuhusu Mungu? Inakuwaje unawapinga?
Au wewe unaushahidi wako wa kuhusu yaliyotokea kipindi hicho?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.