Kama maafisa tena wenye PhD wanapigiwa simu hawatoi official statement huo ni uhuni na wanatakiwa wawajibishwe maana hili suala kuja huku limewafika shingoni wahusika
Nimeulizia nimeambiwa serikali ime inject hela nyingi ASA kwa ajili ya ku promote utumiaji wa mbegu bora. fedha hizi pia zilitakiwa zinunue mbegu wanazozalisha wakulima walioko katika mkataba na ASA. Kama wakulima wazalishaji hawajalipwa hadi leo kuna tatizo katika uongozi wa ngazi ya juu wa ASA.
Move ya serikali ni kuhamasisha kilimo kwa kutumia mbegeu bora . Na kama hii imetokea ni kweli wapo watu waliopewa dhamana na serikali kusimamia huu mchakato lakini kwa hili ni dhahiri wanafanya hujuma kwa maslahi yao binafsi
Watu wote waliodhulumiwa na sabaya wangeitwa kutoa ushahidi angehukumiwa kunyongwa. Kesi ya sabaya na Mbowe ni vitu viwili tofauti. sabaya alishtakiwa kutokana na malalamiko ya wananchi ila mbowe kashtakiwa na serikali na mashahidi wanaosema mbowe ni gaidi ni polisi na siyo raia. Mashahidi wengi...
Watu hawa hawafai kuwa watumishi wa umma ni watu wanaoleta mateso kwa wananchi . wao wamejikita kuhakikisha kuwa kila fidia inayotolewa wamepata asilimia kadhaa la sivyo hakuna process ya fidia kufanyika.
kama wewe ni mwenzao waambie hakuna siri tena. Ushahidi upo na role wanayoicheza kudhulumu ipo namtandao wao ndio huo unaouona hapa. ukitaka ushahidi ingia kwenye email yangu
Hawa watumishi wa TANESCO ni waovu , wana kiburi na hawamjali mtu yeyote wanadhulumu mchana kweupe bila ya hofu. We fikiria wamakataa kuitii na kuifanyia kazi hukumu ya mahakama kuu. Maanake wako juu ya sheria
Sisi wananchi wa Makuyuni mkoani Arusha tunaomba tukuletee kilio chetu cha kudhulumiwa fidia zetu na watumishi wa TANESCO mkoa na makao makuu. Majina yao yameorodheshwa chini
Mwaka 2017 tathmini kwa ajili ya upitisha umeme wa msongo wa kilovolt 400 ilifanyika eneo la Makuyuni Wilaya ya Monduli...
Kuna watumishi waadilifu waliofanya kazi kwa mafanikio makubwa katika miradi mikubwa ya Serikali ambayo ilitekelezwa na kumaliza muda wake. Baada ya miradi hii kuwa imekamilika watumishi hawa nao ukawa ndio mwisho wa ajira zao kwa mujibu wa mikataba yao.
Ninamwomba Mh. Mama Samia awatupie...
NI VERY SERIOUS KAMA WAFANYABIASHARA WANALETA KODI TRA SIKU TATU NA KUSHINDWA KULIPA ETI MTANDAO. ILITAKIWA HADI SASA MENEJA WA TRA ARUSHA AWE YUKO BENCHI KWA UCHUNGUZI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.