Kweli kama vile watanzania wamepatwa na msiba natamani kwenda kuishi nje na tanzania nikikumbuka ccm ilipotufikisha na tena ndio watawala nahisi kuugua ilamungu anisaidie na awasaidie watanzania wote waliofikwa na hali hii ya kutokuwa na amani awe faraja kwa watu wote amen.
Hapa geita mjini kituo cha nyankumbu upigaji wa kura unaendelea vizuri na inaonekana watu wanataka mabadiliko maana kila mpiga kura ana kalamu yake na kichinjio kwa kuepuka hujuma
Geita mjini ijapo mheshimiwa amefika mda unaelekea kwisha, lakini umati wa wapenda mabadiliko waliokuwa wamekusanyika pale uwanja wa magereza ni hatari kweli alivyosema si mapenzi ni mahaba
Ni kweli mkuu maana ccm wamekuwa ni watu wa kulalamika tu na kutoa matusi ovyovyo utafikiri si chama tawala. lakini hayo yote ni kwamba wanapoangali mbele wanaona kuna kushindwa ktk uchaguzi mwaka huu maana hawakutegemea nguvu iliyopo upinzani sasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.