Washakuja gheto wakachana nyavu kumbe nipo macho nawaona afu ni washkji kabisa wa kitaa... Kitendo cha kukohoa tu waliacha fimbo yao yenye ndoano kwa mbele hpo hpo dirishani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachofanya wanaume wake wakali kwa hili.. Mwanaum hata akitoka nje ila maranying ndani atatimiza vyote muhimu.. Wachache sana wanaoiptiwa na kusahau kutimiza majukum yao hasa ya tendo takatifu.. Ila hawa wenzetu wakitoka wametoka hiko ndo tunachohofia...
By the way.. Hawafugiki ila tujaribu...
Haya mambo aseh hayana mwenyew.. Wot i believe hawa ndugu zetu hata uwape nin kama akiamua kutoka atatoka bila ya kutolewa.. Na akiamua kutulia atatulia tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi... Roller inakaza tumbo na sio kupunguza tumbo.. So ukipiga roller huku unakitambi zaid tu itakusaidia kupunguza rate ya kula koz tumbo linakuw linajibana.. Homework zipo nyingi... Ruka kamba at least hata 1000 per day.. En iwe mfululizo yani ukianz moja usisimame hadi ufike 1000
Sent...
Niaje watu wangu wa Nguvu. Chuo kinafunguliwa rasmi j3 yaan trh 31 jpo wapo walioanza kufika tangu jana j5. Kwa mahitaji ya kudownld na kuprnt admission later na form nyingine ufikapo ndani ya eneo la chuo wasilian na namba 0654568084. Utapata huduma stahiki 12 hrs
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.