Mie nimeagiza Mara moja, mzigo ulikuwa kama nilivyoagiza, nafikiri kina kitu tunakosea wakati wa kuagiza, eh wameweka picha ya kapoch kazuri wewe unachagua kile coz bei ni cheap let's say 11000, lkn kuna poch kama hiyo hiyo bei 30000, naenda kwenye description ndio utaelewe, wanaeeka mpaka size...
Kuna wakati nikisikiliza matangazo ya vifo kwenye radio huwa nashindwa kuelewa watu wanamaanisha nini. Mfano, utasikia mwajuma ndalandefu wa Mbagala anasikitika kutangaza kifo cha babu yake kilichotekea huko Mkuurombo na mazishi yatafanyika Mkuurombo. Mipango ya mazishi inafanyika leo saa----...
Medical fee huwa ni 100000 ila kuna wale wanaokatiwa bima hapo chuo nadhani wanalipa 54 na kama una kadi yako ni copy tuu unapeleka ofic za bima wana kugongea mhuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.