Kwani sisi tunavyochekana huku hao wa ulaya wanatuona??au Mimi Niko zangu Matejoo huku huko kwenye mitaa ya Manchester wakichekana kwenye mabar huko nitawaonaje???
Nijuavyo Mfumo huu huu hutumia Mabeki wa kati watatu, mfano Leo awepo Onyango,Inonga na Kennedy ndio wanasimama kwenye hiyo 3 ya mwanzo, Tshabalala na Kapombe wanakuwa pembeni kwa juu kwenye line ya watu 5.Hicho kikosi ulichoandika wewe walikuwa wanacheza 4-4-2 sio 3-5-2
Nimesoma mpaka nikasahau mada ni ilikuwa kitu Gani,kulikuwa na ulazima Gani kuchanganya huu mseto wa mambo meeeengi??ulikuwa hujiamini??bila shaka umeona kwanini ulikosa kujiamini
So nafasi zilizobaki ni wachezaji wa Simba?utakuwa umemuunga Mkono mtoa post bila kujua,Hapo kwa kina Job upo sahihi , simba ina tumia sana mabeki wa kati wa kimataifa kwa miaka kadhaa sasa, ila kwa Ambundo hebu jitafakari, anazo any proven records??
Wewe ni shuhuda?upo katika nafasi ya kuweza kutoa ushuhuda wako?Umesikia tu kwa watu, ni jirani wa mganga ulimuona akiingia kufanya ulozi, au huko kwa wachawi ni uncle ako ulikuwapo akienda au wewe mwenyewe ndio ulimtengenezea ndumba???Jibu kwa utulivu usipanic Mjomba ni swali la kawaida tu
Kwani takwimu zako Kisinda kakutana na Tshabalala mechi ngapi na ngapi alifanya Vizuri dhidi yake?Mi nakumbuka alimsumbua mechi moja tu, nyingine zote katulizwa tu
Sasa mbona unasema kuna kitu ambacho wewe na Mimi hatujaona mbona umetujumuisha sisi ktk mtizamo wako wewe binafsi??umetujumuisha bila kutuomba.Wewe kama unaona hivyo unavyoona jitaje mwenyewe usijumuishe na wengine.Andika upya bandiko lako
Umejuaje kama Yanga msimu huu IPO Vizuri sana?si zimepita mechi mbili 2 na wameshinda kimojakimoja na wameshatolewa Champions League?umejuaje sasa kama wapo Vizuri?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.