Hii habari ni kweli tukio limetokea jana. JF si huru ndiyo maana iko tetesi likizuka jamaa wafunge thread kama vijana Adda Estate wakitimiza malengo yao.
KUTOKA KASULU - KIGOMA.
Katika hali ya kushangaza jumapili ya juzi tarehe 29 Disemba, 2013
aliyekuwa naibu katibu mkuu wa CHADEMA aliyevuliwa nyadhifa zake kwenye chama Bw Zitto kabwe tulikuwa naye kwenye ibada hapa kanisa la Anglikana Kasulu akiwa amekuja kuombewa kwa kile alichodai kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.