Huduma za Meli za Mizigo katika Bandari ya Kyela kuanza katika Ziwa Nyasa hivi karibuni. Kwa Maelezo zaidi Tafadhali wasiliana na ofisi za TPA kwa namba za simu +255 (692) 114498 na (715) 212618; Baruapepe: ; ; ; au tuma barua kwa Mkuu wa Bandari, S.L.P. 400 Itungi, Kyela.
SOURCE: Ports Latest...
Nashukuru wadau kwa michango yenu nimeenda kupima nimeambiwa motility ipo progressive na sperm zinaswim kwa speed inayotakiwa na nzuri, nilichofanya ni mazoez ya kukimbia pia vyakula na matunda vitamin C na B12. Mbarikiweeeee
Nashukuru sana wadau kwa mawazo yenu ila msichanganye kati ya sperm count na sperm motility, mimi sperm count ni 60 million ila motility inaonyesha 50% kwa 50%
Wakuu wenye utaalamu na ufahamu, ni jinsi gani naweza kuongeza sperm motility maana nimepata majibu kwamba ni 50/50. Vipimo vinginr vyote vipo vizuri
N.B
Naomba kueleweshwa zaidi katika suala la motility, jinsi gani naweza kuongeza
UPDATEEEEEE
Nashukuru wadau kwa michango yenu nimeenda...
gari yangu ni automatic nikibadilisha gear kutoka P kwenda R au D inakuwa inashtuka, kwenye dashboard hamna taa yoyote ya hatari inayowaka, je tatizo itakuwa ni nini?
jwtz ndani yake ina vitengo tofauti tofauti, kuna jkt, navy, infantry, air force. JKT ndiyo wana vitega uchumi kama SUMAJKT, jkt hufanya kama ujenzi, kuuza vifaa vya ujenzi, kilimo, ufugaji, n.k. Askari wote ukiacha wa kujitolea wapo chini ya jwtz, askari wa kujitolea wapo chini ya jkt kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.