Waziri wa fedha Dr Mwigulu Nchemba ametangaza kwenye gazeti la serikali kuanza kwa kodi mpya kwenye miamala ya fedha kupitia bank pale unapotoa au kuweka fedha utakatwa kodi ya viwango tofauti kama inavyoonekana kwenye jedwari hili hapa chini.
The Government of Tanzania has imposed levy on all...
Hii tabia ya wana siasa kusema uongo mfululizo ikiachwa iote mizizi bila kukemewa inaweza kuja kuleta maafa makubwa sana kwa taifa kwa kupandikiza chuki ndani ya jamii na kujikuta watanzania wazalendo wanawekwa pembeni na mafisadi ndiyo yanashika usukani wa kuongoza nchi yetu.
Kwa kuzingatia...
Imezuka taharuki kwa baadhi ya wakazi wa Mabwepande Wilaya na Kinondoni wanaodaiwa kujenga eneo lisiloruhusiwa, baada ya nyumba zao kubomolewa huku wakiwa hawajui la kufanya na familia zao.
Akizungumza kwa simu na Mwananchi kuhusu ubomoaji huo ulioanza Julai 4, Mkurugenzi wa Manispaa ya...
Maradhi na ukame vilikuwepo tangu enzi za mababu zetu tena magonjwa makali sana kuliko haya.
Hizi kejeli za kukosoa mradi wa bwawa la umeme kwa kisingizio cha kuharibu mazingira zikome kabisa
Rais Samia Hassan amesema kuna maradhi ambayo hayakuwepo siku za nyuma lakini yanajitokeza siku za...
Kwa masikikito makubwa na kwa kilio kikubwa tunakuomba uheshimu chama cha mapinduzi.
Umekuwa ukipokea rushwa kwa wagombea wote wanaochukua na kurudisha fomu za jumuia ya wazazi wilaya ya Hai mkoa wa kilimanjaro bila aibu tena kwa kujiamini.
Umekatisha tamaa wanachama wa jumuia ya wazazi...
Watu wasiojulikana huko Ngarenaro mkoani Arusha usiku wa leo wamevamia nyumba mbili na kuzivunja zote kisha kuiba shillingi millioni 10 na kutokomea kusikojulikana.
Kama unaishi nyumba za kupanga zenye masharti lukuki hii inakuhusu sana, wataalamu wa afya ya akili na wanasaikolojia wameonya kuwa masharti hayo ni moja ya kichocheo cha mtu kukumbwa na magonjwa ya afya ya akili ikiwemo sonona.
Takwimu za magonjwa ya afya ya akili kwa mwaka jana kutoka Wizara...
Mbunge aliyejawa na hoja zenye mashiko kwa taifa letu Mh Shabiby amehoji utaratibu unaotumiwa na serikali ya awamu ya 6 kufungua nchi kwani unaelekea kuigeuza Tanzania kuwa shamba la bibi kwa kila mgeni kufanya anavyotaka.
Bwana Shabiby amesema sasa hivi wageni hasa wachina wameruhusiwa kuingia...
Dar es Salaam. Biashara ya ukahaba imevamia kwa kasi baadhi ya maeneo ya Jiji la Dar es Salaam, na kusababisha kero na adha kubwa katika makazi ya watu, hasa eneo la Sinza kiasi cha kuzifanya baadhi ya familia kuhama nyumba, Mwananchi limebaini.
Wazazi na walezi wanasema hali hiyo pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.