Sioni tatizo kwa Gwajima kugombea Jimbo la Kawe na ukizigangatia anayo haki ya kikatiba, kama issue ni hiyo video clip yake inayozunguka kwenye Mitandao ikihusu ndoto ya misikiti kuwa Sunday school akisimulia waamini wake pia itachekesha ikiwa Halima au Chadema watasimama na agenda mfu hii...
Utumishi upo wa aina tofauti tofauti sawa na vyombo kabatini, hata kwenye Biblia walikuwepo walio mtumikia Mungu kwa upande wa Madhabahu na upande wa siasa, Daniel tena ktk nchi ya ugeni na alifanya vizuri.
Au labda Gwajima katangaza akiwa Mbunge hatakuwa mchungaji tena ila mla bata kama...
Umewaza kama Mimi, wameandika kutona na dhana iliyozoeleka kwa wanandoa kudhuriana kutokana na wivu wa mapenzi.
Na kama ni kweli basi iko sababu ya msingi iliyopekelea binti kumnyima unyumba na pengine hakuwa na mahali pa kupeleka tatizo lake.
Za masiku ni njema sana.
Mimi siwashangai kwani Wamekaa kama hila ya kwapa kunuka bila Donda, Kama usemavyo wakachukuwe nao fomu kwa laki moja tu na katiba inawaruhusu labda kama ni under 18 , wangonjwa wa akili au hawajui kusoma na kuandika!
Mzee Ngwajima waamshie Dude kwani hawajitajibui...
Uko sawa kabisa kwa sasa kubadilika na kuwa na mtazamo tofauti kati ya watumishi wa Mungu na siasa, kwani siasa ni watu ambao ndiyo haohao walio makanisani na kwenye Chama vya kiasiasa.
Hivyo watumishi wa Mungu wowote wanaodhani kuwa wanaweza kutumikia nchi kwa njia ya siasa wajitokeze kwa...
Rekebisha kwanza katiba ndipo ulete mapendekezo kama Haya.
Katiba yetu iko wazi kabisa na inampa kila mtanzania haki ya kupiga au kupigiwa kura ili mradi amekidhi vigezo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.