Mbona mnafananisha moshi na upepo? Moshi unavuka penye moto upepo unavuma bila uelekeo maalum na mara nyingi upepo unaambatana na taka na vumbi. Moshi unaheshimika kidogo manake ukishindana na moshi utaishia kutoa machozi.
Nikirudi kwenye mada ni kwamba Magembe Jr is more matured with valid...
Ndege aina ya jet engines hazifai viwanja vya vumbi. So nafikiri walizingatia niwanja tulivyo navyo vya vumbi ndo wakaona walete pangaboi. Dash8 400 series Kama sijajosea inabeba watu 52. Sasa sijui zitakua zinaenda nje wapi.
Mara nyingi konda wa basi akikushusha njiani porini huwa mara nyingi utapata lifti gari kutoka kwa gari jingine na lile basi utalipita njiani. Lowasa kashuka kwenye Leyland Victor kaingia kwenye Scania 94H
Hivi JK si alisoma mission? nakumbuka pale Tabora aliwaambia washika dini kwamba wafanye mkakati kwanza wa kujiendeleza kielimu na wajenge shule nyingi ili waweze kuchuana na upande wa pili. kilichotokea ni kwamba wale watu walifoka sana kwamba raisi kasema hawana elimu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.