Anatamka Tundu Antipas Lissu,
"Mwaka 1978 Mwalimu Nyerere alihojiwa na BBC ambapo alisema alikuwa na mamlaka, kwa mujibu wa Katiba na sheria za wakati huo, ya kuwa dikteta. Mwalimu alikuwa sahihi: kikatiba na kisheria he'd almost unlimited powers and unaccountable to anybody by law.
Rais...
Msomi mzima tena Daktari anajenga hoja kwa mambo ambayo hana uhakika nayo! inatia aibu....sina hakika kama alimaliza masomo ya Ubingwa maana alinyanyaswa na Supervisor wake, akasusa akaamua kujiunga masomo ya
MBA, na sina hakika sana kuhusu 'msimamo usiotetereka'.
Msije mkafurahia mkisikia mbunge fulani wa CHADEMA ameshinda kesi aliyoshitakiwa na aliyekuwa mgombea fulani wa CCM. Hii ni mbinu ambayo huwa inatumika na CCM miaka mingi kuuibia upinzani.
NINI HUFANYIKA?
Katika chaguzi CCM huiba sana kura na muda mwingine humtangaza mshindi hata ambae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.