Mimi naona kawaida kabisa endapo ni kweli watakuwa wameingiza simu gerezani kwani kwa mujibu wa sheria za jeshi hilo la Magereza ni marufuku mfungwa kuingiza simu kwa njia yoyote gerezani.
Na endapo inapotokea hisia kama hizo sidhani kama nguvu haiwezi kutumika ili kushinikiza watuhumiwa...
Hata kama utaweka frame za chuma lakini huwezi kuruka kuwema frame za mbao plus top zake na bei ya mninga ipo juu kidogo japokuwa wabongo sometimes wahuni wanatumia mbao nyingine kisha wanapaka rangi feki feki kama hujui mbao ndiyo unakuwa umeligwa changa la macho
Mimi nilibahatika kufika ofisi yao siku moja na kupewa lecture zao. Kwanza nilishangazwa sana na namna wanavyosalimiana kwa kusema kila muda goodmorning!
Pili wale watoa lecture wanatumia nguvu sana kulinda hoja kwamba QNet ni tofauti na pyramids nyingine zilizoliza watu.
Tatu hawataki kabisa...
Imports ikishuka ni vizuri endapo exports inapanda. Sasa kama vyote vinashuka athari kubwa ipo kwa serikali kukosa kodi kupitia importation na kukosa forex kupitia kupungua kwa expotation.
Hasa kwa Tanzania nategemea sana kodi ya bandari pale Dar, hivyo kupungua kwa impotation ni balaa kubwa...
Naomba kuuliza kama ATCL ilikaguliwa na CAG?
Lakini pia mambo mengi siku hizi yamekuwa kama imani ya dini, ukisema Yesu si Mungu Mkristo hawezi kukuelewa au useme Yesu alifia msalabani kwa Muislam hawezi kukuelewa.
Data au mambo mengi tumeacha line of fact tumejikita kwenye propaganda.
Binafsi...
No yule alitakiwa kustaafu February ila ni kama JPM alimruhusu aende mpaka June. Hivyo alitakiwa kukabidhi ofisi kitambo tu na ndiyo maana Rais alipomteua CGP hakuchelewa kuondoka lakini siyo kwamba alijiuzuru kwa sababu ya kadhia ya Lugola.
Ila ungeniambia kutokana na Lugola kujua jamaa...
Umejitahidi sana kutoa mtazamo wako lakini bado nikujuze kitu kimoja.
1. Naamini huu ni usajili wa ndani tu ambao bila ya shaka kwa aina ya washambuliaji tuliano saizi Tanzania bila ya kuwachukua hao sijui utakwenda wapi tena kusajili!
Salamba naona kama amelalamikiwa sana na wanasimba wengi...
Issue kubwa ni kufanya mazoezi sana kabla hujaenda ili kujenga stamina na kuwa mvumilivu kwa kiwango cha juu ili uweze kufika peak.
Kama utatumia Marangu route kwa siku tano inabidi ujipange sana.
1. Siku ya kwanza unatoka Marangu - Mandara 8kms
2. Siku ya pili from Mandara - Horombo 12kms...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.