Fafanua hapo kwenye red.
Je alipigwa au kajipiga?
Yapo mambo mengi ya kuangalia katika crime scene hii.
Position ya miwani, barua, ashtray, taa ya kusomea, kalamu, blood splatter, slipper, ganda la risasi, mlalo wa marehemu ...
Kwanini taa imechomolewa katika socket wakati nje kuna giza...
Maelezo ya mleta uzi yana walakini.
Eti aliambiwa kwa mdomo. Hakuna ushahidi wa kutosha wa kuweza kuthibitisha maelezo ya huyu mleta uzi.
Kimashine cha kusaga/kukoboa kinahitahitaji kweli kufungiwa transformer? Je Load ya hizo mashine ikoje?
Ukiacha transformer bado kuna issue ya ujenzi wa line...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.