Tafuta kipato ila usisahua majukum kama mke, mwanaume atafute kipato pia asisahu majukumu kama mume. Tatizo wengi wanadhani kipato inaondoa gender role au wajibu kama mme au mke
Ulinzi wa taarifa sio tu nyumbani ila hata kwa watu wengine ila ni vema mwenza wako akafahamu ili akiwa na shida atumie
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi wananchi waiudhurie mikutano ya kiasiasa pia sababu wao sio wanasiasa. Wale waadhiri wa chuo pia msiwateue sababu sio wanasiasa. Hata wewe naamimi kuna kazi yako unayofanya acha siasa pia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.