Asante sana, mtume wawatu tumebobea kwenye jambo hilo, sisi ndo Kulipewa Mwana Kulitaka Mwana Nguvu Moja [emoji881]
Nakaribia kistaafu tuwaachie vijana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anasema Uto punguzeni Polimi Lai, yeye ana akili, na huwa anatamba baada ya mechi.
Kwahivyo wanaotamba kabla ya game hamnazo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Funguo [emoji360] Nadhani sasa mmeanza kuelewa uchezaji wake tulivyokuwa tunawambia, ndo maana akianza kwenye kikosi au akianzia benchi wala hamshangai.
Angalia huyu Mwehu, ana tabia ya Nyani kutoliona Kundule lake, mbona Jana wewe hapa umewaita wenzako Kenge, kwahivyo ulidhani huwezi kukutana na wahuni wenzako, sasa unalalamika nini? Lile ambalo hulipendi basi usifanyie mwenzako anza kujifunza sasa..Punguani wa Akili.
Cc Lawamakwetucheo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.