Mjukuu mmoja alikwenda kijijni kumsalimia babu yake baada ya miaka mingi kupita ndipo babu yake akamuhoji 'hivi nyerere wa siku hizi ndio kikwete?' maana yule nyerere wa manzo alikuwa anakuja vijijini mara nyingi ila hawa nyerere waliomfuatia sijawahi kuwaona. (By godlove mtokambali.)
Padre akawaambia waumini wote wafunge macho ili waombee mvua ili inyeshe, cha kushangaza walipofumba macho tu, mshkaji mmoja aliyevimbiwa kande akajamba kwa sauti, padre ikabidi aropoke maneno yafuatayo "hebu fumbueni macho na muumini aliyejamba nimemuona sasa nafunga misa kwa sababu licha ya...
Kuna mshkaji alirudi usiku akiwa amelewa chakali. Alipofika chumbani alikuta mke wake keshalala fofofo ile kuangalia pembeni akaona glass ina kimiminika cha njano ndani yake. Jamaa akajua moja kwa moja ni bia. Akanyanyua glasi akakinyonya kimiminika fasta, du! Akagundua kimiminika kina ladha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.