Safari nyingi za nje
Kupendwa na Marekani (kumbuka ndiye Rais wa Kwanza wa Africa kumtembelea Obama Ikulu ya Merekani; kumbuka mambo ya Sullivan etc)
Kuwashitaki kina Mramba kwa ufisadi lakini kuwakataza kina Mengi wasiwataje mafisadi maana kufanya hivyo ni kuwagawa watanzania
KENYA: It's the economy, stupid (not "tribalism") 09 Jan 2008 16:16:49 GMT
Source: IRIN
Reuters and AlertNet are not responsible for the content of this article or for any external internet sites. The views expressed are the author's alone.
NAIROBI, 9 January 2008 (IRIN) - The wave of...
Mimi siamini katika serikali ambayo Kibaki ni Rais na Raila ni waziri mkuu! Hilo lilishindikana wakati wa NARC amapo Raila alikubali kuivunja KANU, Kumuunga mkono Kibaki (kumbekini yale ya Kibaki Tosha)na kufanya makubaliano (MoU) kuwa ndani ya siku 100 wabadili katiba iweke nafasi ya waziri...
Waungwana nilisoma makala haya kwenye mtandao nikaona ni vema kuwashirikisha....
United Nations diverts aid from Somalis to Kenyans 09 Jan 2008 09:59:24 GMT
Source: Reuters
By Duncan Miriri
NAIROBI, Jan 9 (Reuters) - The United Nations has diverted aid intended for refugees from...
Heshima mbele!
Mimi wakuu sigusii mjadala wa utaifa kwa sasa ila naomba tu niseme kidogo uchaguzi wa Kenya. Mosi, ni kweli kulikuwa na matatizo na hila. Kweli uchaguzi ulikuwa mbaya lakini Wakenya wengi sana walijitokeza kupiga kura. Kosa lao nini mpaka wawe wahanga wa vurugu? Hivi ni lazima...
Heshima mbele.
Nimeshindwa kuvumilia....kumbe tuliopo Bongo ni vilaza! Hakika ni fedheha ya hali ya juu. Siku hizi kuwa Mareakani tu ni ticketi ya akili nyingi, busara na utajiri?
Utumwa, Utumwa, Utumwa.
Walau kwa mara ya kwanza nimesikia Rais ansema yuko busy na mambo ya ndani....sawa Mheshimiwa tuhudumie na sisi, umeenda sana kule nje kwa wakubwa na umetuletea story nyingi sana.
I think you are right, we need to get rid of one of the two. I know our reason for VP was union issue ansd the reason for PM was common law system. But the legal and constitutional challenge would be the accountability in parliament. If we have elected VP as head og government business in...
Heshima mbele.
Mimi ninshangaa kuona tunamtofautisha rais na serikali yake anayoiongoza na chama ambacho yeye ni mwenyekiti wa taifa. Kama kweli tunataka kumsaidia rais wetu na kuinusuru Tanzania ni lazima tuanze kusema ukweli ili wahusika waone aibu na rais awajibike kwa watu kwa kutekeleza...
Heshima mbele!
Mkuu Kitila asante kwa majibu mazuri, asante kwa watoa hoja wengine. Mimi yangu ni machache tu. Siamini kama kweli tumefika mahali tunasema tumeishiwa kiasi hichi na kusema kuwa hatuna cha kujitete au hata kuweka kitu mezani. Mimi ni Mtanzania na nitakufa na utanzania wangu...
Tatizo ni kwamba waheshimiwa wetu hawatafuti kuwapendeza wapiga kura wao bali wawekezaji kusudi wawape fedha za kampeni! Wao ni wasomi sana wenzao si wananchi wa Nachingwea ni wawekzaji wa Canada walioko nchini. Hawajui Kinyaturu wala Kiswahili.
Salam kwao.
I am not sure if I would prefer to be another US 'jimbo'. Is it not enough for them to have their military base near our home? now you want another presence, this time of owning us? No.
But I have nothing wrong with Raila, I believe is testing different ideas in development. So why not...
Do not worry friend, this is exactly the federation. Selling ourselves in wholesale after the retail sales (individual countries) proved time wasting on the part of our potential buyers!
I think Fatma is deadly wrong in this. The law doesnt allow you to fight for your client that way. If she can do that then she do not qualidfy as an advocate.
I am surprised the Magistrate did not take action right then for contempt of Court. The law required the Magistrate to take action...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.