hizi bajeti za elimu huwa zinakwenda wapi?
mtoto anatoka kijijini anapasi kwenda mtwara lakini anatakiwa akae nje ya shule nani atalipia mzazi ambae anategemea jembe la mkono kulimia?
kweli huyu mtoto atasoma ?pesa ya chakula,kodi ya hostel?na maisha ya hosteli huru?
au ni program ya...
pole sana invisible.
wengi wametoa ushauri :kupumzika,mazoezi maji kwa wingi nk.upande wangu pamoja na yote hapo juu ACHA kwa muda matumizi ya KAHAWA tafuta kahawa mbadala mfano maji ya moto na tangawizi mbichi,usiache kula chakula cha mchana hata kama uko kazini beba matunda.
hatuna mazoea...
Pumzika Kwa Amani MUNGA TEHENAN.
alikuwa mwandishi makini na mwenye fasihi nyingi,binafsi nilipenda sana magazeti yake yote mawili.
kuna baadhi tu yamakala zake ambazo unaweza zipata kwenye web site yake
www.tkmedia.co.tz
inaweza ikasaidia ,na pia kuwe na ulizzi wa kijiji au sehemu ,ingawaje kwa sasa maeneo mengi yameacha huo ulinzi (sungusungu),kwani mara nyingi matukio haya ya mauaji ,wizi ramani inachorwa na mtu anaefahamu vema hiyo sehemu,huenda hata akawa ni ndugu au jamaa wa karibu.
isije ikawa ndio njia rahisi ya kuchukua ivo viungo kwani wataanza kuwaweka chini familia kwanza na silaha yao ikawa ndio kirahisisho cha kazi yao!
angalia tukio la juzi wamemvamia albino amepiga kelele familia imechelewa??????kutoka kumsaidia wakaondoka na mkono!
kuna mambo ya ajabu ukisoma mambo ya bongo ! hebu angalia hiii!
Chuma ulete yazua songombingo Dar, Wakimbiza pesa benki kwa hofu
*Wakimbiza pesa benki kwa hofu
Na Adam Hussein
MZOZO mkubwa huenda ukazuka kati ya baadhi ya wenye nyumba na wapangaji katika maeneo mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.