Waungwana tujadili...jana Mzindakaya kasaini Mkataba Wa Mchuchuma kuhusu kuzalisha MW 600 za umeme..jambo la kusikitisha nikwamba alishauriwa na mwanasheria mkuu wa serikali asubirii kable hajasaini waweke comments zao..lakini kwa simu mzee wa watu kaanguka...kisa keshapewa dilii kuwa watachukua...
Tujadili madudud aliyoyafanya Mzindakaya Jana...kasain na wachina mktabat wa 4.16 tirion kabla ya kupata ushauri wa mwansheria mkuu wa serikali ,tunakwenda wapi?
Jamani breaking news!! ulemradi ulosainiwa jana kati ya mzindakaya na wachina kwa ajili ya kuzalisha umeme megawatss 600mw umegundulika kuwa hukupitiwa na wmwanasheria mkuu,aliwapigia simu jana kuwa wasisaini mpaka aweke comments zao mzinda akataa anataka kuturudisha kule kule kwa SAAFI..Mpeniz...
Huyu shibuda vipi? Si aliingia kwa ajili ya ubunge tu,sasa kapata anataka nini..akae kimya..chadema walimkubalia tu kwa vile walitaka kupata support tu ya wananchi na kujitambulisha zaidi kanda ya ziwa na analijua hilo sasa anataka nini? Tunajua alitaka ubunge lakini sio damu ya...
kwani kuandamana tatizo? sioni kama ni vibaya as long as watu wameomba ruhusa,sasa mtu anapotkea kuwatisha watu inaonekana kuna jambo linafichwa hapo...duh..
wakuu nashinda kufanya 'attachment' nina ushahidi wa jinsi CCM walivyopanga mipango ya kuchakachua kura huko lakairo hotel mwanzoni.mtu anielekeze jinsi yaku attach,tayari nimesave kwenye my documents
Mnachosema wenzangu nawaunga mkono na mguu,huyu mkwere amebanwa kila mahali ila nawashukuru kwanza Mawakala wote wa Chadema kwa uaminifu wao waliouonyesha ktk kusimamia zoezi zima kwani lilikuwa nia hatari,hasa ukiangalia kipato kidogo walichokuwa wakilipwa kama posho(nimeangalia posho...
Huyu Mwiba ni atakuwa ni mmoja wa maustadh,tena sijui ametoka wapi kwani sisi wanaJF hatukumzoea. Isitoshe hoja zake ziko very 'immature' au shule itakuwa tatizo. kwa jinsi alivyobuni uongo na kutaka kuwapotosha Waislamu.Natumaini Waislamu Makini hawatapoteza mda wao hata kuusoma mara mbili.
Hi Team,Hivi karibuni 'Crew' nzima ya Dedio Clousd walijitolea kupima 'Virusi',offcourse matokeo ni Siri ya kila mtu.Ila kuna kitu kimenishangaza a week after wameletewa wataalamu wa ushauri nasaha kuhusu VVU na jinsi ya kuishi VVU na kujitunza, na mpaka wakaletewa na mgonjwa wa virusi atoe...
--------------------------------------------------------------------------------
Hi Team,Hivi karibuni 'Crew' nzima ya Dedio Clousd walijitolea kupima 'Virusi',offcourse matokeo ni Siri ya kila mtu.Ila kuna kitu kimenishangaza a week after wameletewa wataalamu wa ushauri nasaha kuhusu VVU na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.