Jumuia ya Watanzania waishio UK iliyo chini ya kamapati ya mpito inayoongozwa na Eng Dr Hingira wanapenda kutoa pongezi kwa Balozi Dr Asha Rose Migiro kwa kuchaguliwa kua Balozi wa Tanzania UK.
Pia Watanzania hao waishio UK wanamkaribisha Mheshimiwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika ziara yake...
Baada ya kufurahishwa na kasi yake na uchungu aliouonyesha kwa nchi yake, Mapastor mbali mbali wa Kiafrica walioko London wameamua kuungana na wale wa Kitanzania kufanya misa maalum kumuombea Mheshimwa Rais John Pombe Magufuli kwa Mwenyezi Mungu
Nyote mnakaribishwa
Inasikitisha sana
Hilo gari lilitakiwa libebwe kwenye low loader na kua safe secured
Kuna siku mwezi january mwaka huu ilinibidi nitumie my powers of arrest kukamata dereva mmoja mandela road nikawaita polisi wamchukue baada ya kuona anaendesha truck kama hilo kabeba yale ma roller makubwa ya...
Namshukuru Mungu niliacha hii kazi mapema kabla haijawa mbaya kiasi hiki....
R.I P marehemu
Ni wakati sasa jeshi la polisi lifanye operesheni maalumu kukamata silaha nchi nzima
Ikiwezekana kura za staili ya Mrema zirudishwe majambazi yaumbulie na yakamatwe. Majambazi tuko nao uraiani humu...
Haihitaji kua genius kujua kua Magufuli is the best candidate this country have ever had
Huyu mtu kafika alipo kwa CV yake na wala sio umaarufu.
Alijenga jina lake kiutendaji ambapo ilitegemewa achukiwe na wengi kwa kubomoa nyumba za waliojenga katikai ya bara bara lakini ndio walimpenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.