Search results

  1. W

    Warehouse / Godown For Rent

    Godown bado zipo za mbele Tu, Godown za nyuma zimechuliwa
  2. W

    Warehouse / Godown For Rent

    Warehouse / Godown zipo Magomeni Mikumi, Karibu na Barabara ya Lami, Eneo Lina Usalama mzuri. Ukubwa ni 10 x 12 meters. Zipo Ground Floor na First Floor. Rent $450 per Month. Maelewano yapo Kama unalipa kodi ya mwaka mzima. Maelezo zaidi : 0715 222 750
  3. W

    Mimi nafanya biashra ya kutoa mzigo Bandarini

    Tairi mpya size 385/65/22.5 kutoka China unatowa kwa Tshs ngapi?
  4. W

    For Sale Heavy Duty Trailer

    Ngoja nikutizamie Trailer iliyopata Accident na haina tairi. Unaweza kupata kwa hio 8mill.
  5. W

    Sliding Skeleton Trailer

    Hatapeliwe Mtu kwenye biashara hii, Unalipa Full Amount Cash, Unaondoka na Trailer yako na Original Document za Trailer.
  6. W

    Truck DAF CF85 430

    Truck inauzwa, 2005 DAF CF85 430 6x2 Manual Gearbox, Imeshafanyiwa Full Service, Imeshalipiwa ushuru wote, Haijafanya kazi Tanzania. $30,000 Kwa Mawasiliano UKtoTZ@gmail.com au 0714666766
  7. W

    2005 daf cf85

    Truck inauzwa, 2005 DAF CF85 430 6x2 Manual Gearbox, Imeshafanyiwa Full Service, Imeshalipiwa ushuru wote, Haijafanya kazi Tanzania. $30,000 Kwa Mawasiliano UKtoTZ@gmail.com au 0714666766
  8. W

    Sliding Skeleton Trailer

    Cabin sio nzima, Zimepata Accident zote.
  9. W

    For Sale Heavy Duty Trailer

    Trailer bado zipo, Trailer za Blue kwa $13500, kwa Mawasiliano UKtoTZ@gmail.com au 0714666766
  10. W

    Sliding Skeleton Trailer

    Trailer bado zipo, Hizi za njano kwa $11500, kwa mawasiliano UKtoTZ@gmail.com au 0714666766.
  11. W

    Pickup dcabin toyota or hard body nisan

    Ipo Toyota Hilux ya mwaka 2003, Imebadilishwa Rubber Bush zote, Full Service, Gas ya A/c imeshajazwa, Gari ilikuwa inafanya kazi za nyumbani tu, Haijafanya kazi ya shamba. Bei 17million, Maelewano yapo, Gari ipo Ilala kama unataka kuiona. Kwa Mawasiano zaidi 0714 666766
  12. W

    For Sale Heavy Duty Trailer

    Heavy Duty Skeleton Trailer, ROR Axle,Drum Brake, Air Buster, SuperSingle Tyres, Zimelipiwa Full Ushuru, Zimepigwa Rangi, Zipo tayari kwa Kazi, Hazijafanya Kazi Tanzania, Kwa Mawasiliano zaidi UKtoTZ@gmail.com Bei $11500
  13. W

    Heavy Duty Trailer For Sale

    Skeleton Heavy Duty Trailer zinauzwa, ROR Axle,Drum Brake,Air Buster,SuperSingle Tyres. Hazijatumika Tanzania, Zimepigwa Rangi,Zipo tayari kwa Kazi, Zimelipiwa Full Ushuru, kwa Mwasiliano zaidi UKtoTZ@gmail.com Bei $11500
  14. W

    Hilux Double Cabin Inauzwa

    Commission ipo ukileta mteja wa kulipa Full Amount.
  15. W

    Toyota Hilux Inauzwa

    2003 Hilux Double Cabin,2.8cc Engine, Manual Gearbox, Air Condition, Ipo Kwenye Condition nzuri, Bei 18million,Gari ipo maeneo ya Ilala, Kwa mawasiliano zaidi Call 0712 220408 or UKtoTZ@gmail.com
  16. W

    Hilux Double Cabin Inauzwa

    Toyota Hilux Double Cabin ya 2003 inauzwa, Manual Gearbox, Engine 2.8cc, Air Condition, Ipo kwenye Condition Nzuri. Bei 18million, Gari ipo maeneo ya Ilala, kwa mawasiliano zaidi, Call 0712 220408 au UKtoTZ@gmail.com
  17. W

    Sliding Skeleton Trailer

    Kwa sshv sina Normal Trailer,zipo skeleton tu.
  18. W

    Sliding Skeleton Trailer

    Ahsante kwa Offer yako, Mimi sitaki gari nnauza Trailers tu, Ukifanikiwa kuuza gari zako njoo ntaakuzia Trailer.
  19. W

    Sliding Skeleton Trailer

    Unataka installments ya malipo baada ya muda gani? Kuna Advance payment yoyote utalipa kwanza...
  20. W

    Sliding Skeleton Trailer Zinauzwa

    1999 Sliding Skeleton Trailer, 14 Containers Locks,Drum Brakes,SuperSingle Tyres, Zimelipiwa ushuru zote, hazijafanya kazi Tanzania hata siku mmoja, zote zipo Vikindu kama unataka kuziona, Kwa mawasiliano zaidi UKtoTZ@gmail.com bei $13500 each.
Back
Top Bottom