Tatizo walimu wengi wanavojiweka Dr wa tamisemi ana maisha gani magumu kiasi hicho hivo Dr mwezi unaweza Isha hajapata heka yoyote ndani ya kazi , watumishi wengi Hali ngumu lakini waalimu watu wanaamini maisha yao Ni magumu Sana kwani wengi wanakopa Sana mitaani kwa watu wakawaida so usitumie...
Hii issue ya petrol serikali itatueni haraka, haiwezekani lt 1 mteja anunue kwa 6000 Urambo -Tabora-tz wasafiri wanatozwa nauli kubwa mno sheli zote zimefungwa, na inaonekana ndo wanaouza mafuta ya rejareja mitaani Hali Ni mbaya Sana Urambo na Kaliua Tabora, nauli imeongezeka mara 2.
Pia soma...
Mwanamke unamuonva 5000 au 150000 kwa mwezi akufanye uwe maskini?,hapo jua huna pesa at ukiwa pekeako bado Hali mbaya.maisha magumu hukufanya uwaze kupambana zaidi si kubweteka
Amini kwenye maisha either utaumia shuleni au kwenye ajira.kila mtu na wakati wake,Kuna waliopata 4 f4 wakaenda vyuo vya Kati Leo wanapata mkate wa taifa Kuna walioenda f6 wakafeli wakarudi kusoma na f4 waliofeli Leo wanaongea strory moja Kuna vyuo vikuu ambao wanatamani hata nafasi ya F4 ,Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.