wakati TORRES akiwa Liverpool alikuwa striker hatari sana alivyoenda Chelsea akawa expensive flop.....Sturridge alivyokuwa Chelsea alikuwa anaonekana flop,kaja Liverpool he is now the real deal...kuna nini hapo?
Statistics show Liverpool's Daniel Sturridge is real deal as a striker The man who has a better league goalscoring rate than his team-mate Luis Suárez could boost England's World Cup hopes
Daniel Sturridge celebrates scoring Liverpool's third goal in the...
dah kama uko hivi vaa tu nguo fupi wasiopenda wajinyonge......enzi hizo walikuwa wanavaa vipande vya ngozi vinafunika papuchi na dushelele ------ na matiti wazi....huo ndi ulikuwa utamaduni ukoo mzima sasa mini skirt si kawaida tu?
hebu muulize akimuandikia sms baba ake,mama ake au bosi wake kazini anatumia lugha hio ya xaxa,xiku,ctaki,nixasehe?? kama jibu ni NDIO basi amepinda huyo msamehe.....kama jibu ni HAPANA ina maana anakudharau/hakuheshimu unatakiwa umuadabishe.
mbona mimi sijaoa lakini sirudi kwangu saa kumi na moja?weekend chache sana naweza kurudi saa saba/nane. watu wengine hawakui,ushaoa bado unataka uishi kama teenager ushamba huo!!!
Mimi nimepanda ndege za masafa tu...ba,klm,swissair,emirates.....sikupata tabu yoyote kwasababu nilisimuliwa na kuona vingi kwenye tv/movies....lakini sijawahi kui-enjoy wala sitakuja ku-enjoy flight....
Napanda coz i have to....safari za local nita-drive au kupanda bus....i hate flying,kitu...
we acha tu sijui wanafikiri angeenda man city au chelsea angelipwa pound 50,000 kwa wiki??? Rooney is a defender,midfielder,striker rolled into one....he is our symbol now....when you see rooney you see manchester united.
thank you....BIG LIKE
my 'like' button imepotea for some reasons i dont know! the last time i liked someone's post was 3 weeks ago and i feel bad when someone like my post and i cant do the same to their useful post!
ROTFLMAO......kabla ya kufanyiwa hayo inatakiwa tujiulize:
Something ain't right, something just ain't right.
Lord have mercy, babe,
Tell me when was the last time, you brought her roses home from work.
Tell me when was the last time, you rubbed her feet when she said they hurt.
Tell me when...
ndio maana yangu hiii...kuanzia home ndio advantage mkuu sio kuanzia ugenini....walioongoza makundi ndio top so hawapewi advantage kuanza home....imagine barcelona aanze home na timu zetu hizi za kichovu si round inaishia nou camp? lakini akianza away at least game ya pili inakuwa na umuhimu kwa...
top seeds wote wanaanzia away...refer hata UEFA CHAMPIONS LEAGUE bayern,barcelona,psg,atletico,man utd wote hao wameongoza makundi so wanaanzia away...kuanza nyumbani ni advantage kwani unapata nafasi ya kumuweka favourite under pressure
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.