Tumie Akili mwandishi wote aliowataja amewataja kwa kuzingatia VITUO vyao vya Mwisho kabla ya Kununuliwa na DIKTETA MAGUFULI kama wewe unataka kueleza Mwanzo wao ANDIKA ANDIKO LAKO
DR.SLAA ASIAMINIWE TENA NI ASKARI MSALITI ANANUNULIKA WAKATI WOWOTE NA KWA BEI YOYOTE ALIISALITI CHADEMA KATIKATI YA VITA KWA VIPANDE VYA FEDHA NA UBALOZI
Wananchi nawasabahi.Nadhani yaliyotokea 2015 wakati nchi inaelekea kwenye uchaguzi mkuu kila mtu ni shahidi.
Dkt. Slaa alikuwa katibu mkuu wa CHADEMA chama kikubwa cha upinzani na mikakati yote ya ndani ya chama ya kumpata mgombea urais makini huyo Dr. Slaa alishiriki kwa asilimia 100.
Chadema...
Wadau nawasalimu.Mada hapo juu yahusika.Kama mtakunbuka Aliyeuanzisha Mchakato wa kuwapatia KATIBA MPYA wananchi ni RAIS na Mwenyekiti wa CCM TAIFA.Mh.KIKWETE .HZOJA zake zilikuwa nzuri sana kwani alisema KATIBA tuliyonayo imepitwa na Wakati Mambo mengi yamebadilika pamoja na MAISHA kwani KATIBA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.