Ni lazima lisajiliwe hapa nchini na kupewa namba, mm niliwahi tengeneza tela la kubebea boti, hivyo nilivyoenda TRA nilitakiwa nipeleke
Risiti zote nilizonunulia material ya uundwaji wa tela
1, Risiti za c Chanel
2,Risiti za Mabati
3,Risiti za Rangi
4.Risiti Ya Matairi
5.Risiti ya Ekseli na...
Chief Mkwawa,Njuwa Mavoko,asanteni kwa taaluma mliotupatie,kwangu nimefata hatua zote na kufanikiwa,isipokuwa kwa Vdubt25 ukifungua haioneshi channel yeyote na Paki india live ukifungua zinaonesha channel zoe ila ukiclip to play baada ya sekunde kadhaa inadisplay massegi hii PLAYBACK...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.