Leo ningependa kuzungumzia suala la uongozi, siasa, na utumishi wa umma kwa ujumla. Kuna mambo kadha wa kadha ninayaona katika nchi yangu, na mimi kama kijana nimepata mawazo ya kuyawasilisha katika jukwaa hili la mabadiliko maarufu kama "Stories of Change" la mwaka huu wa 2024. Naomba ulisome...
Karibu katika andiko hili la afya lenye kuelezea jinsi rafiki wa afya zetu anaweza kuwa adui mkubwa wa afya zetu.
Je, ulishawahi kusikia juu ya usugu wa vimelea dhidi ya dawa ? Kama ulishawahi kusikia ama hujawahi ungana nami tujifunze zaidi.
Usugu wa vimelea dhidi ya dawa ni Hali ya dawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.