Unajua hakuna set ya binadamu imekemilika,wengine wanakoroma,wengine wanaenda ndogo,wengine.wanachepuka,wengine wanalia wakiwa wanaliwa,ilimradi shida tuu.
Maneno haya hata ccm huyatumia
kujifariji dhidi ya uendeshaji mbovu wa nchi,zaidi deni limefikia trillion 133 haya sasa kumepambazuka serikali za mitaa.
Hakuna majitu poyoyo kama haya yanatembea kwenye gari za kujaziwa mafuta na Kodi zetu,zile AC za yale magali huwa zinafuta uwezo wa asili wa kufiri na kujikuta wanakubali kila kitu.Imagine Karne ya 21 na gesi unayo kama Urusi,na madini kila Kona,bahari yenye samako zaidi ya kiasi kikubwa,Mbuga...
Hakuna watu wanawaamini matapeli wa kizungu kama bibi yule,hata wakisema maji ya Kizmkazi ni dhahabu ya Tanzania breweries atawaamini na kuwapigia magoti kumbe Wazee wa Bandari wanasepa na kijiji.
Kwanza kabisa mzungu sio rafiki.mzungu ni mwizi kupitia.utakatishaji wa Dola,wanachapisha dola then...
Kuna Jimbo la wakatoliki wahuni walipiga pesa ya white elephant projects,dadeki wezi wanawaibia kila kukicha,akinunua TV kubwa wasela wanabeba,akinunua tenda hapati anaishia kujipa matumaini,wakijenga nyumba ya kupangisha ndani ya miezi mitatu wateja wanajenga zao na waacha nyumbaa bila...
Wasanaii hao,hawana tofauti na pdidy,hao ni matapeli wa.mifumo ya Benki,ni majitu yanatakatisha pesa kupitia vita yanafanya mambo ya hovyo kupitia vita,ni matapeli kama waxhunagji kichefuchefu wote,hata kutujaza upepoo wa bible pia ni utapeli wao,unawaombea matapeli.
Waliosema gesi itamaliza kero zote za bajeti wako wapi,walisema mgao wa madini utamaliza kero za bajeti wako wapi wakasema sasa nchi imeingia uchumi wa kati wako wapi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.