Usitake kudanganya watu mimi nilikuwepo na nimechukua na picha , mitambo ya kwanza ilianza kugoma kabla hata mheshimiwa hajatua chini Mpaka anaingia uwanjani haifanyi kazi makamanda wakaenda kukodi gari jingine limefika nalo likagoma pia, Mpaka hapo nimeamini kuwa Ccm mnatumia nguvu za giza...
Anasema kahakikishiwa na mnyama kuwa ccm wanashinda lakini alipoenda mbele kidogo tu akasahau na akasema watu kama watamchagua magufuli watapata hela nyingi je sasa Utabiri gani Umekuwa na " kama.............."?
Ccm walipodanganywa tu kidogo na kauli hizo wakajiingiza kichwa kichwa, hii ni sawa na kuweka mtego fulani wa panya na ukaweka kipande cha nyama ili panya akija kichwa kichwa ananaswa Viva Ukawa Viva
Mwisho wa mabomu ya machozi na risasi za moto ni tarehe 25 tu, naamini serikali itakayoingia madarakani haiwezi kukubali unyama huu kwa raia wake, Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Ukawa
Ukitaka kuichagua ccm tena mwaka huu kabla hujashika karatasi jiulize nyumbani una nini? Familia yako inauhakika na maisha bora? Ndugu na jamaa zako wananufaika na mfumo wa ccm ? Kama jibu lako ni ndiyo Basi ichague tena kaa ni HAPANA acha kabisa usije ukawekeza dhambia ndani ya ukoo wako
SUMAYE: Walioficha fedha nje watazirudisha
Naye Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, alisema kama Lowassa atafanikiwa kuingia madarakani Watanzania walioficha fedha nje ya nchi watazirudisha.
Kwa mujibu wa Sumaye, fedha hizo ambazo Serikali ya CCM imeshindwa kuzirudisha zitatakiwa kurudi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.