Haujaelewa mantiki ya Mbowe, ni kwamba alipelekewa barua za madai wakati yupo Jela na akaambiwa atoe responses wakati bado yupo Jela, ile anatoka kushakuwa na time lapse na muda wa kujitetea haupo tena. Kilichofuata ni kuchukua pesa zake zote na kumfungia akaunti zake. Kimsingi plan ilipangwa...
Mr. William Erio ambaye leo ameondolewa katika Cheo cha Mkurugenzi Mkuu NSSF si jina geni. Amekuwa katika cheo kikubwa cha Mkurugenzi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kwa muda mrefu toka mwaka 2002 alipokuwa Mkurugenzi Mkuu wa PPF hadi mwaka 2018 alipohamishiwa NSSF baada ya kung'olewa Prof...
Habari za shughuli wadau,
Nimepata uhamisho wa kikazi ghafla juzi kwenda mkoani. Nyumba hii nilikuwa nimehamia mwezi huu yani yaani tarehe3, lakini ndiyo hivyo tena risks ambazo siku-foresee.
Kwa hiyo natafuta mtu nitakayemuuzia mkataba, HAKUNA UDALALI. Kodi kwa mwezi ni 160,000/= utalipa...

Aisee, kweli jamaa mikono imevimba sana..nahisi mwili wote utakuwa umevimba kama hiyo Mikono. Namuombea Mungu mkuu amponye kabisa. Hapo alipo amekaa na mmoja wa maadui zake namba wani..ila wanachekeana tu.
Lazima Zitakuwa hela nyingi sana, Just Imagine kama anawaleta akina Maksimo na Babu na anawalipa Milioni 15-20 unafikiri yeye anajilipa sh ngapi????.Haiwezi kuwa milioni 30. CHANGANYA NA ZAKO
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.