ELIMU BILA MATENDO IMEKUFA
Imani bila matendo imekufa!
Haya unaweza kuyaona kupitia(Kwa nini imani bila matendo imekufa?). Haya ni maneno yanayopatikana katika biblia. Ni maneno yanayo tutaka tuweke katika matendo kile tulichofundishwa na kuaminishwa. Haya pia tunayapata katika Quruan...
Mimi ni miongoni mwa watu ambao wanafikiria ni kwa namna gani tunaweza kuhakikisha tunavuna maji ya mvua kwa namna ambayo tunaweza kuyatumia kwenye shughuli zetu za kilimo hasa huko vijijini.
Ni kipata pakuelezea wazo langu na kufanyiwa kazi ninaamini kwamba litatatua matatizo yetu katika...
Mwenye uelewa na hizi biashara za network marketing naomba anipe in and out ya biashara hii maana nimekuwa nasikia watu wengi sana kuwa huwa wanajiunga.
1) Hii mifuko huwa inaukweli wowote kwamba wanachokisema na kukihubiri huwa kina ukweli wowote?
2) Je ni watu wangapi kwa Tanzania tunaweza...
Hivi jamani tunaona mikoa na kanda za Tanzania bara nyingi kuna timu za mpira wa miguu kwa mfano kanda ya ziwa kuna kagera sugar, pamba, mbao nk huko mbeya tuna mbeya city kwa dar kuna yanga, simba lakini kwa kanda ya kasikazini(Arusha, Kilimanjaro, Manyara) huko kuna timu gani wajameni
Wadau naombeni kujua mwenye uzoefu wa biashara ya samaki kwa kutembeza mitaani kama ina weza kuwa na changamoto zipi na faida zipi
Nataraji kufanya hiyo biashara kwa kununua wabichi na kuwatembeza
Karibuni[emoji120] [emoji120] [emoji120]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.