Nawe tujulishe. Vipi kuhusu Makamba kumtangaza Magufuli mshindi na mpaka kutaja siku ya kuapishwa kwake kabla hata zoezi la kuhesabu kura halijahitimishwa na tume? Vipi kuhusu wana CCM kudai kuwa CCM haitotolewa madarakani kwa vikaratasi? Vipi kuhusu Tume kumtangaza Magufuli mshindi kwa kutumia...
Mimi nawaunga mkono watu ambao wana mtazamo unaouita "kutotaka Magufuli afanikiwe" kwa sababu ndio watakaompa changamoto ya kufanya vizuri zaidi.
Kiongozi lazima awe na kundi la watu katika jamii wanaom criticize ili ajue wapi kakosea. Hakuna haja ya kumsifu kiongozi pale alipofanya vizuri kwa...
Sidhani kama ninahitaji kutoa maelezo kwa nini apewe.
Natarajia CHADEMA watampatia haki yake kutokana na mchango wake mkubwa kwenye uhamasishaji wa kura za Rais ambazo ndizo zinazokipa chama haki ya kupata wabunge wa viti maalum.
Hivi kweli kuna watu wanaamini kwamba bomu lile limetegwa na Mzanzibari kwa ajili ya kuwaua Wazanzibari wenzake wasio na hatia badala ya kuwalenga viongozi wa CCM ambao ndio mahasidi wao kwenye sakata hili?
Kinachoendelea ni CCM kutumia vyombo vya dola kuweka mazingira ya kuwatisha Wazanzibari...
Jee CCJ haina mamlaka ya kuangalia kama ibara ya 41(6) imefuatwa?
Ibara hiyo inaitangulia ibara ya 41(7) kwa hivyo ili ibara ya 41(7) iweze kuwa na nguvu ya kisheria basi ibara ya 41(6) ambayo ndio inayoelezea haki ya mgombea kuwa Rais halali wa Tanzania lazima iwe imeheshimiwa kwanza.
Hivyo...
Kwa nini UKAWA wasiende mahakamani kudai haki yao ya kuhakikisha ibara ya 41 kipengele cha 6 kimetimizwa?
Kipengele hicho kinasema kuwa Mgombea yeyote wa kiti cha Rais atatangazwa kuwa amechaguliwa kuwa Rais iwapo tu amepata kura nyingi zaidi kuliko mgombea mwingine yeyote.
Kama UKAWA wana...
Nakubaliana na hoja yako kwamba itakuwa ni kuibaka demokrasia kama kura za urais zinabakwa halafu wabunge wa upinzani wanaingia bungeni. Na hapa tutajua mashujaa wetu wa kweli hapa Tanzania na wanafiki. Mbunge yoyote aliyeteuliwa kutoka kambi ya upinzani atakayetinga bungeni wakati kura za Urais...
Ndugu yangu. Na kwa wale wote wenye mtazamo kama wako. Nawasihi msikate tamaa.
Demokrasia kwenye bara la Africa bado sana lakini hatua kwa hatua itakuwa kama wananchi hawatokata tamaa.
Kwa sasa nchi za Africa zina demokrasia ya unafiki. Ni tu kwa sababu wamelazimishwa na mataifa makubwa...
Mimi bado napata shida sana kuelewa jambo hili.
Kwa nini wagombea walikubali kura zihesabiwe upya wakati wameona kabisa jinsi kura feki za CCM zilivyokuwa zinasambazwa tena na magari ya taasisi au magari yanayotumiwa na watu wenye uhusiano wa karibu na wagombea wa CCM?
Kwa nini vyama vyao...
UKAWA ni lulu na itaendelea kua lulu kwa wale wote wanaotaka mabadiliko hapa Tanzania mpaka pale CCM itakapong'olewa rasmi madarakani.
UKAWA imewezesha kufuta doa la udini na ukabila lililopandikizwa na CCM dhidi ya wapinzani ili kuwagawa na kuwadhoofisha katika juhudi zao za kuleta...
UKAWA ni lulu na itaendelea kua lulu kwa wale wote wanaotaka mabadiliko hapa Tanzania mpaka pale CCM itakapong'olewa rasmi madarakani.
UKAWA imewezesha kufuta doa la udini na ukabila lililopandikizwa na CCM dhidi ya wapinzani ili kuwagawa na kuwadhoofisha katika juhudi zao za kuleta demokrasia...
Mnayakumbuka wakati Mrema anagombea Urais kupitia NCCR?
CCM walitangaza kwanza matokeo ya mikoani na walipoona kura za Urais zimetosha huko mikoani kiasi kwamba Rais anaweza kutangazwa hata bila ya kura za DSM, wakafuta uchaguzi wote wa Dsm na kuurudia tena wakati Rais kashapatikana.
Sidhani...
CCM wameshaanza kutayarisha hali ya kukataa matokeo kwa kuanza kuwalaumu Tume kwamba hawakuwa na mawakala katika jimbo kubwa ndani ya Zanzibar eti kwa sababu tume hawakutoa vitambulisho kwa mawakala wao.
Huu utakuwa mpango wameupanga na ZEK ili kuhalalisha kurudia uchaguzi katika jimbo hilo...
Lowassa ni mpango wa Mungu kwani angechaguliwa CCM kugombea uraisi angeambulia patupu. Watu wanataka mabadiliko nje ya CCM hivyo Lowassa kapanda chati kwa sababu yuko nje ya CCM na si vinginevyo.
Nani kakwambia ni vijana tu?
Wazee kama Kingunge na Sumaye unawaweka wapi?
Ahadi ya Lowassa ya kuwapa posho wazee itakayowawezesha kujikimu na maisha yao kwenye huduma za msingi unaiweka wapi?
Kama Wazee hawatampigia kura Lowassa kwa ahadi hii ya aina yake ambayo haijawahi kutokea kwenye bara...
Mimi ninachomuomba Mwenyezi Mungu ni kwamba UKAWA ishinde. Lakini isiposhinda bado nitaamini wamepanga iwe hivyo. Kwa nini? Magufuli amekamatwa LIVE na CAG kama MWIZI MZOEFU wa mali ya umma kwa kutunga mradi hewa wa barabara na kuupa namba hewa ya mradi na hivyo kuchota mabilioni ya hela. Cha...
Watanzania wengi ni maskini kwa sababu ya Serikali mbovu sisizokuwa na dira ya kuwawezesha raia wake tangu tupate uhuru. Hivyo wengi hawatakua na uwezo wa kupiga picha au video wakati wanaliona tukio kutokana na kukosa nyenzo za kuwawezesha kufanya hivyo lakini kwa uzalendo wao wanaamua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.