Search results

  1. C

    Mwigulu amewaagiza Wataalamu wa Wizara yake kukaa na Wajumbe wa IMF wajadili Athari za Upungufu wa US Dollar kwenye Uchumi!

    Chifu, Kama DEMAND can't meet Supply ndo SHORTAGE yenyewe hiyo!! Nchi nyingi za Afrika mara zote tumekuwa ni wa kununua zaidi kuliko kuuza na kwahiyo kama issue ingekuwa ni trade imbalance basi US Dollar zingekuwepo kwenye mzunguko lakini exchange rate ingekuwa kubwa!! Of course, zipo sababu...
  2. C

    Mrithi wa Samia ana kazi nzito kurudisha uchumi wa Tanzania kwenye Mstari

    Mosi, una uelewa finyu wa mambo ya kiuchumi, na pili, ama hujui kilichokuwa kinaendelea wakati wa JPM au unajizimisha data tu! Nikianza na uelewa finyu ni kwamba, mikopo mingi kama sio yote ambayo SSH anachukua ni kutoka World Bank, IMF, na Paris Club! Hizo taasisi huwa zinatowa CONCESSIONALLY...
  3. C

    Mwigulu amewaagiza Wataalamu wa Wizara yake kukaa na Wajumbe wa IMF wajadili Athari za Upungufu wa US Dollar kwenye Uchumi!

    Hoja hapo sio JPM bali Mtaji wa Jeshi Kubwa la Wajinga lililopo nyuma yake!! Wanaotumia vichwa vyao sawasawa wanafahamu uwepo wa taarifa kama hizi:- Hao ni Egypt Hao ni INDIA The Conversation nao wanaripoti kwamba:- Financial Time nao wanaripoti:- Hapo juu ni Iraq na mafuta yake yote...
  4. C

    Mwigulu amewaagiza Wataalamu wa Wizara yake kukaa na Wajumbe wa IMF wajadili Athari za Upungufu wa US Dollar kwenye Uchumi!

    Misukule mingi ya JPM ina ufahamu mdogo sana! Sometimes unaweza kudhani wanachofanya is just politics lakini ukiangalia vizuri utagundua it's not about politics bali ni uelewa finyu!!
  5. C

    Mwigulu amewaagiza Wataalamu wa Wizara yake kukaa na Wajumbe wa IMF wajadili Athari za Upungufu wa US Dollar kwenye Uchumi!

    Umeambiwa duniani uchumi umeporomoka au umeambiwa duniani Dola imeadimika?! Yaani unashindwa kuelewa sentensi yenye maneno yasiyofika hata 10 halafu bado unaona wenzako vilaza!!
  6. C

    Mwigulu amewaagiza Wataalamu wa Wizara yake kukaa na Wajumbe wa IMF wajadili Athari za Upungufu wa US Dollar kwenye Uchumi!

    JPM alituachia Jeshi kubwa sana la wajinga nchi hii.... Hujui hata kinachoendelea duniani. FYI, kuna jitihada kubwa inafanyika duniani kwa lengo la kuizika Dollar ya Kimarekani. Anyway, hilo litachelewa kutimia lakini something tells me LITAFANIKIWA hasa kwa kuzingatia China ndiye Largest...
  7. C

    Alopewa ajenge Mwendokasi Mbagala kapewa tena Gongolamboto

    Sio kweli.... BRT ya Morogoro Rd ilijengwa awamu ya JK.
  8. C

    Alopewa ajenge Mwendokasi Mbagala kapewa tena Gongolamboto

    Asingekubali angefanya nini?! Binafsi kwanza nilishangaa niliposikia na kule inapita BRT kwa sababu tangia hapo, ile barabara ni nyembamba! Hata ujenzi wa barabara mbili ulikuwa unashindikana unless ubomoe majengo KIBAO! Halafu tusijisahaulishe. Hakuna asiyefahamu magumashi ya Mchina lakini...
  9. C

    Kikwete mbona Magufuli alipofariki dunia hukumuelezea kirefu kama kwa Membe?

    Yaani wanajisahaulisha, JPM kaingia bungeni in 1995, na wakati huo tayari JK na Ben walikuwa wameshaanza kufahamiana kitambo sana! Nakumbuka hata msiba wa Baba yake Ben, ulisimamiwa na JK enzi hizo Ben akiwa Canada! Yaani wakati JPM yupo Mwanza kabla hajaingia kwenye siasa, tayari JK alikuwa...
  10. C

    Kikwete mbona Magufuli alipofariki dunia hukumuelezea kirefu kama kwa Membe?

    Suala la Idd Amini ni gumu sana!! Anyway, kwamba alikuwa mwema, HAKUWA NA WEMA HUO!! Iddi Amini alikuwa muuaji, PERIOD!! Hana tofauti na Madikteta wengine wengi duniani! Hata hivyo, cha ajabu hata Uganda kwenyewe kuna watu wengi sana ambao wanaona Iddi Amin ni National Hero! Niliwahi kusoma...
  11. C

    Kikwete mbona Magufuli alipofariki dunia hukumuelezea kirefu kama kwa Membe?

    Kwahiyo vyuo vyote vimejengwa na Magu? Hospitali zote zimejengwa na Magu? Mashule yote yamejengwa na Magu? Barabara na madaraja yote yamejengwa na Magu? Mitambo na mabwawa yanayozalisha umeme hivi sasa yamejengwa na Magu?! Unajua huwa napata mashaka sana na uelewa wa Wafuasi wa Magu! Let's...
  12. C

    TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Ukweli ni kwamba, mimi sikuwa karibu nae bali ndugu zangu WENGI (wa karibu) ndio walikuwa karibu nae, TENA SANA! Maishani mwangu nimewahi kukutana nae mara 2 TU, mara ya kwanza nyumbani kwake na mara ya pili, kwenye msiba wa kakake! In short, nilijitenga nae (though ndivyo nilivyo) manake...
  13. C

    TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Upo sahihi kwa 99%... Watu wanasahau kwamba umri wa passport wa Membe ni 70. Nasema "umri wa passport" coz' Ben kasoma darasa moja na baba yangu mkubwa, and he's 77 NOW. Hata kama hicho hakiwezi kuwa kigezo lakini inafikirisha kidogo watu wa darasa moja, tena primary school halafu wanakuwa...
  14. C

    TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Cha kawaida, Chifu! Hakuna cha mkono wa mtu wala nini!!
  15. C

    TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Membe alikuwa na personal relationship na pale Kairuki! Kama ni hofu ya usalama, he'd be safer pale Kairuki kuliko huko kwingine. And REMEMBER: Ni kifua tu kilimbana... Kairuki haina udogo wa kushindwa ku-handle issues kama hizo lakini siku ikifika, hata mafua yanakuondoa!!
  16. C

    TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Duh! Anashindwa kupatikana kivipi? Kwani ulishawahi kusikia kuna order ya kukamatwa kwake hadi useme "anashindwa kupatikana"? Au ulisikia kuna mtu alikuwa anamsaka?! Btw, kwanini awe Mwanza wakati shughuli zake zilikuwa Dar?!
  17. C

    TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Ina maana hiyo rufaa anakata muda wowote anaotaka yeye?! Uliwahi kusikia wapi?!
  18. C

    TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Kizazi kilicholelewa na kutopewa na imani za kishirikina basi kila litokealo watahusisha na ushirikina! Huyo Musiba angekuwa na ubavu wa kuua mtu kishirikina angeanza kwanza kuroga kesi zake zipotelee hewani. Tangu JPM atutoke, Musiba amekuwa akiishi kama digidigi... alikuwa anaogopa nini...
  19. C

    TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Pole sana... Watu hawajui tu but COVID-19 is back... tusijisahau!
  20. C

    B Dozen, Oscar, Kitenge na Hando wameondoka EFM. Kitenge na Hando watua Wasafi

    Wakati tunajadili mishahara ya hawa watu tusisahau yafuatayo especially kwa hizi Urban Radios. 1. Approach vs Approached: Miaka ya nyuma nilikuwa nafanyia taasisi moja ya kifedha. Sasa sijui ilikuwa ni uhaba wa Competitive Bankers au vipi lakini miaka ile haikuwa ajabu Staff wa Bank X kuwa...
Back
Top Bottom