Zingekuwepo na zingekuwa na ufanisi nisingewaza hivi ndugu!
Issue iliyopo now it is not kuwa club za tehama zipo usione mpaka nafikiri hivi zijafanya research hapana nimefanya research ndo maana nikaona kuna kitu kinamiss kwa club hizo za tehama...
Naam,,hizo picha ni za association ambapo nilianza kupractise hii project kwa kuanza na wenzangu naosoma nao shule moja ambao pia ni member wa organization ...
Nimekuelewa kaka ,,but nikisema vingine nifanye kimya nitakwama baadae then later on nitakosa msaada maana itakuwa ngumu baadae kuwaelezea wadau kama ninyi
utoaji wa elimu ya sayansi ya kiteknolojia kwa watu mbalimbali nchini hasa kwa vijana...
Kupata elimu na juzi mbalimbali kutoka kwa wabobezi wa sayansi ya kiteknolojia wanaotoka nchini Tanzania.
Pia itatoa nafasi kwa vijana wabunifu kuweza kuonyesh bunifu zao ambapo watapata shirikiano...
yeah nilishathink kutengeneza website coz i'm also website designer in frontend ones,,.pia later naweza kudevelop app ila siwezi fanikisha yote hayo bila msaada kutoka kwa wadau wa teknolojia nchini
Ndo maana nikaja hapa jamiiforumz maana najua nitapata msaadas kutoka kwa expert mbalimbali
Nafurahi kupata miitikio wako kaka, hapana PMCs ni physics math na computer..
kumbe ni alumni nafurahi kujuana na wewe...
Kiukweli mazingira ya lab hayaridhishi maana pale tunatumia server to client system ambapo hakuna hata internet ya kusomea ambapo ingetusaidia kufetch materials...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.