Hivi Makonda ametoa mrejesho wa michango ya madawati kwa Kinondoni na Dar au anajikausha ili watu wasahau? Watoto wetu bado wanateseka kwa kukaa chini na kwenye vitofali. Tumeona akipokea misaada kibao ya madawati hadi kutoka kwa Balozi wa Japan na wa China.
Mh Paul Makonda toka akiwa DC Kinondoni na sasa RC Dar, amekuwa anakusanya kwa nguvu na mwendokasi michango na hela ya madawati. Inakadiriwa kuwa jumla ya michango na hela hiyo inaweza kufikia takribani Sh bilioni 4 ta Tanzania kupitia kwa Makonda peke yake.
Mbona Makonda hatoi taarifa kuwa...
Peter Noni anastaafu rasmi mwezi huu May 2016 mwishoni. Anasubiri mteule mwingine amkabidhi ofisi. Ilikuwa aachie TIB January lakini wamemtaka aendelee hadi JPM amtaje mteule mwingine.
Mwanakijiji, sijui kama umeibua hii hadithi kwa urahisi wa kugusa hisia au ni kweli ulikuwa unajaribu kuelezea hali halisi. Mimi hali halisi siijui. Lakini nimefuatialia hiyo tamthilia hapo juu iliyoambatana na hiyo picha, na ninaona kuna walakini.
Kwani inaelekea hadithi ni sungura lakini...
Tanzania iko mashakani kweli.
Tanzania iko mashakani kwa kuwa haina uongozi mathubuti. Haina uongozi unaoeleweka na wenye msimamo.
Tanzania iko mashakani kwa kuwa inaendeshwa na genge la wevi wanaojiita serikali. Genge la wauaji wanaojiita serikali. Genge la watu wasio na maadili wala soni...
Hii nayo kali.
Pinda anaona kuwa watu wa Mtwara waligomea kona ya JK, wakakubali penalti kwake.
Anamalizia tu sasa kuweka ngoma kimiani. Liwalo na Liwe.
Habari zinazozunguka kichinichini Magogoni na Central ni kuwa kuugua kwa ghafla kwa Manumba kuna ukaribu mkubwa na masuala aidha ya madawa ya kulevya, meno ya tembo/vifaru au Ulimboka. Nyepesi zinasema kuwa kabla hajaugua ghafla (Malaria ya siku mbili hadi ICU), alipitia baadhi ya taarifa...
Natafakari na nazidi kuelewa nini maana ya TANU/AFRO SHIRAZ/CCM kushindwa kwa HOJA kwa kuwatimua Mtemvu, Fundikira, Msangi, Hanga, Maalim Seif, Jumbe, Babu, n.k.
Huko kulikuwa ni kushindwa kwa hoja kwa uongozi wa Mwalimu JKN. Uongozi siyo vitisho wala mikwara.
Vile vile natafakari na kuelewa...
Waungwana, naomba nitofautiane na kauli zenu na kuungana na Nape katika hili. Tuvue miwani ya CCM, CDM, CUF na kutazama kauli ya Nape kwa upana zaidi.
Nape amekuwa shujaa sana kwa kukiri kuwa Inahitaji UJASIRI WA SHETANI KUUNGA MKONO M4C, AMBAYO MTAJI WAKE NI DAMU ZA WATANZANIA....
Kwa...
Ni msimamo mzuri. Tegemeo ni kuwa ni msimamo wenye nia ya dhati.
Kwa maana nyingine ni kuwa Nape ni CCM na CCM ni Nape. Bila CCM hakuna Nape, na bila Nape hakuna CCM.
Wengine mnaweza kuona kuwa ni kama majivuno na kujitukuza, ila kama kweli Nape anaamini hivyo na kusimamia hivyo, hiyo ni haki...
Kiranga una vituko wewe.
Mie swali langu ni kuwa akipita je ina maana Mama (FMES) atakuwa @NY na Mheshimiwa atakuwa @EAC au itabidi makazi yaamie Mvumi kwa wote?
Haitakuwa ajabu hiyo ikitokea. Ila ili hili la uraia litokee ndani ya CC itabidi mjumbe mmoja apendekeze lirudishwe katika mjadala. Tayari Chiligati aliliingiza na likakataliwa kuwa halina uzito. Je, nani atasimama tena na kupingana na CC ya wiki jana? Mjumbe gani wa CC anataka kununua hii...
Matola, hapo ni kweli kabisa. Kama CC walitaka kummaliza Sioi, basi njia waliyotumia hata kicheche kilema angekwepa. Mtego mweupe sana huo.
Nili-reach out kwa mmoja wa watu wa karibu sana na Sioi kumshawishi ajitoe ili kuwaumbua CC na uamuzi wao. Jibu nililopewa ni kuwa kama ni wawili kati...
Jasusi, Kikwete pamoja na kuwa walikuwa hawaivi na Mahalu sidhani kama alikuwa na msukumo sana wa kulipeleka hili suala mahakamani. Hili suala toka mwanzo lina mkono sana wa Luhanjo, na wengi walijua Luhanjo atamkalia kooni Mahalu kwa njia moja au nyingine. Hata Mahalu sidhani kama...
Usisahau kuwa huu ndiyo uchaguzi pekee mdogo au kura za maoni za jimbo ambao utasimamiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM - Taifa. Ni historia katika utendaji kazi wa Kamati Kuu na Sekretarieti ya CCM tangu kuanzishwa kwa TANU/CCM. Akishindwa Msekwa anaenda JK mwenyewe kusimamia kura za maoni ya...
Mtanzania, ni kweli kutokana na Katiba ya CCM hiyo kanuni ya asilimia 50 ipo.
Ambacho unakosea na hukisemi kwa wazi ni kuwa hiyo kanuni iliwekwa kando kabla ya 2010. Hiyo kanuni iliwekwa kando na Mkapa akiwa Mwenyekiti kabla ya Uchaguzi Mkuu wa CCM wa 2005 uliompitisha Kikwete kuwa mgombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.