Naisaka milion 80 na ushee.. ipo siku Mhindi atauingia mkenge tu.
Naanza mwezi huu hadi miaka miwili iishe lazma kuna siku atajichanganya tu.
Ehee Majini yangu Tawile...
Chukua hizo odds elfu 56...fanya maboresho kidogo ishi nalo treni. Huwezi jua ya Mungu mengi na Betting ni purely lucky na sio Science.
Sio kila siku Mhindi atakuwa na Bahati yeye.mm kuna siku atauingia mkenge tu.
97A2F3 Sportybet hilo.
Hii ndio yenyewe, Tafuta pesa nyingi zaidi. Mfano mimi imesoma milion 85. Akinipa Cashout ya milion 30 nachukua.
Sitafuti milion 2 maana nnazo, natafuta pesa ambazo sina na nikizipata nitaacha kubet. Sitaki kuwa kama PDiddy. Ana mwaka wa nane anatoa Tips kali ila hajawahi kubutua hata milion 50...
Ukiona hivyo ujue kuna time umezipatia option 2...mfano ashinde na adroo jwa timu moja.
Hakikisha unatoa only 1 option kwa timu moja tu.
Itaondoka hiyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.