Kuwa profesa siyo conclusive evidence ya kwamba una uwezo wa ku solve matatizo yako au ya wilaya unayotoka.
Yupo mama mmoja tunafahamiana ambaye mme wake alikuwa Waziri miaka ya nyuma kidogo kipindi cha Mwl Nyerere; huyu mama anakiri kuwa Uprofesa wa mme wake haukuwa na maana yoyote kwake...
Facebook, HBO, Paramount Pictures, Google, The Washington Post, WhatsApp, The New York Times, Dell Inc. CNN, AOL Time Warner, The Walt Disney, ABC, NBC, CBS, Universal Studios, ESPN, FOX Films, MTV ...
Maryborne, ukiwa mdanganyifu, jitahidi kutunza kumbukumbu; hapa Nina refer mama yako mkristo Mwenye msimamo mkali sana akiwa Idara nyeti kule wizara ya elimu.
Mary, wingi wa majina ya akina Kasanga siyo issue sana, kitu cha msingi ni kuuliza na kumpata Mr. JACOB GERSON KASANGA. Kwa vile uko Mission, ebu uliza Ukoo wa akina Kilomo. Nimejitahidi kuulizia, na nimeambiwa ameisha hamia vijijini. Bado nafanya follow up ni kijiji gani anapatikana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.