Nimebakiza mikoa sita tu ambayo sijafika.
Kagera, Mtwara, Lindi(mjini, kwan baadhi ya wilaya zake nimefika), Ruvuma Katavi Na Rukwa.
Panapo maajaliwa 2025 ntaimaliza yote. Maana hobby yangu ni kusafiri
Kama chadema hawana mpango wa kushiriki uchaguzi 2025 km hakuna tume huru ya uchaguzi, ina maana 2025 CCM itendelea tena kutawala.
Tuombe CHADEMA wakubali kushiriki japo kushinda nafasi ya urais kwa tume hii sidhani, kwenye ubunge wanaweza kupatapata.
Mkuu kwann umeitaja Nzega??[emoji2]
Tabora imekaa kushoto sana ya nzega. Watu wa nzega kuliko kwenda tabora mjini wanaona bora waende Mwanza.
Kuhusu kusafiri umesema kweli.
Kuna watu hadi wanazeeka hajasafiri hata mikoa mitano ya Tz.
Sasa kwenda nje ya nchi ndio hata hawajawaza kabisa...
Hiyo stori ina funza sana. Hata mimi moja ya jamaa yangu alinasa kwa kahaba. Naogopa kusema malaya maana ni shemeji yangu sasa [emoji1787]
Haya mambo aisee yanatokeaga sana tu. Makahaba baadhi wanafanya ukahaba sio kwa kupenda bali ni kutokana na changamoto za kimaisha.
Wengine hawana tumaini...
Wewe ndio unasupport hizo efforts??
Bro we mtu wa ajabu sijapata kuona.
Kwan kuingia maabara kuna kuzuia kuingia mtandaoni?? Ulitaka watu wawe walala maabara??
Wewe ni bush lawyer tu mkuu
Mkuu kwan kati ya malaria na covid ipi ni hatari kwetu sisi afrika??
Ningekuona mfuatiliaji mzuri kama ungeanza kuona magonjwa yapi yanapaswa kupewa kipaumbele kwanza.
Wazungu wao covid imekuwa ni hatari sana k.v mafua kuliko sisi.
Sisi malaria imekuwa ni hatari sana kuliko wao.haina maana...
Unaongea kwa uchungu kwa kuwa wazazi wao waliugua covid,. Vp ambayo wamepoteza ndugu zao kutokana na madhara ya chanjo ambayo hazijamaliza kufanyia utafit?
Mkuu usiangalie wazaz wako au ndugu zako. Angalia athari za kiujumla kwa taifa na jamii yetu.
Kwan hizi chanjo zimepitia hatua zote hizo, km sample trials, na efficanty analysis, results interpretation n.k
Hayo yote kwwnye hizi chanjo hayapo, sasa wewe unasema nini??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.