Search results

  1. F

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Mheshimiwa Rais, Shikamoo Jukumu namba moja la Serikali yoyote duniani ni kuhakikisha nchi haina vurugu na inaendeshwa kwa utaratibu (Public Order). Serikali zote duniani lazima ziendelee kutekeleza kazi yake hii takatifu ambayo ni msingi wa mambo mengine yoyote yale kwenye nchi. Hata maisha...
  2. F

    Ex-Mayor alivyoumizwa na tukio la Kukatika Umeme kwa treni, inaumiza sana sana

    NGEDERE mmoja na BUNDI mmoja jana maeneo ya Kidete wilaya ya Kilosa ndiyo kalisanua TAIFA katika ufisadi ununuzi wa Treni za SGR. Bila NGEDERE jana kufanya kazi nzuri ya "AUDITING" kwa kushirikiana na Bundi,taifa lingekuwa limetapeliwa na TRC chini ya Mkurugenzi wake Bwana KADOGOSA ambaye...
  3. F

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika afunga ndoa

    Kapona ile Miremb
  4. F

    Lipa namba ya VODACOM 5757565 rudisha pesa yangu

    Ana undugu na Waziri wa Sheria Dk Pindi Hazara Chana au ni mwanae? Mpigie simu Waziri Chana ni muuungwana sana huenda akakusaidia
  5. F

    Madai ya fidia ya dola milioni Moja ya Erick Kabendera dhidi ya Vodacom yakienda mahakamani tutarajie nini?

    Mimi kwa uzoefu wangu wa kesi za jinai na madai, naona kuna vitu vya kisheria vitajitokeza au kuibuliwa kabla ya kesi ya msingi maana hatujui Kabendera atafungua Shauri la kudai fidia la aina gani. Je, ni la madhara ya kimadai? (Tortious Liability), je ni madhara ya kijinai? (Criminal Liability...
  6. F

    Safari ya Jenerali Muhoozi Kainerugaba hadi kuwa CDF wa Uganda, tuna cha kujifunza kuhusu watoto wa Marais

    Hii ndio Safari aliyoipita Jenerali MUHOOZI KAINERUGABA Mtoto wa Rais wa Uganda Yowery Kaguta Museven hadi kuwa Mkuu wa Majeshi wa Nchi Hiyo 2000: Aliteuliwa kuwa Luteni wa pili, Kitengo cha Ulinzi wa Rais (PPU) 2001: Alipandishwa cheo kuwa Kapteni 2003: Alipandishwa cheo kuwa Meja na...
  7. F

    Hizi ni dalili kuwa CCM hawamtaki Rais Samia?

    We ndio humtaki hao wanaCCM wote umekutana nao wapi? Pambana na Chadema yako yenye Mwkt wa maisha achana CCM wewe
  8. F

    Nukuu 10 za Jenerali Mabeyo

    1. Magufuli aliomba akafie nyumbani kwake, maana alisema hawezi kupona. 2. Alishangaa nilipomwambia sina mamlaka ya kuruhusu hilo. 3. Aliomba aitiwe Paroko wake, Pd Makubi na Kard. Pengo ambao walifika na kumpa upako wa wagonjwa! 4. Alikata roho mbele yetu wakuu wote watatu wa vyombo vya...
  9. F

    Rostam Aziz kuhusu Lowassa

    “Nimeishi na Edward Lowassa nyumba moja Dodoma kwa miaka 15. Namfahamu kuliko wengi. Alikuwa Kiongozi mwenye nidhamu ya hali ya juu, mwenye akili tulivu, mcha Mungu wa dhati, mnyenyekevu na mwenye kauli thabiti. Nidhamu ndiyo jambo linalotofautisha umahiri wa Edward na wengine wengi. Taifa...
  10. F

    Mengi usiyoyajua kuhusu Bandari ya Dar es Salaam

    Hizi hapa dondoo 15 muhimu za kuzingatia dhidi ya propaganda hasi kwa bandari ya DSM 1.Magati yote 12 pamoja na maeneo ya kuhudumia shehena za mafuta yanahudumia meli hadi kufikia muda huu wa leo tarehe 28 Januari 2024, tofauti na wapotoshaji wanaoposha kwa makusudi kuwa ni magati mawili (2) tu...
  11. F

    Zanzibar: Simai Mohamed Said, Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale ajiuzulu siku mbili baada ya kutangaza uhaba wa pombe kwenye hoteli na migahawa

    Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Simai Mohamed Said ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo usiku. Mhe. Simai ambaye pia ni Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, ametangaza kujiuzulu akisema ni kutokana na kile alichokiita "MAmazingira...
  12. F

    Maandamano yamefanikiwa ila lengo halikutimia

    Nitaweka Mkuu. Muhimu kwa mambo yetu yalee ya mialiko kizimkazi. Una akili sana wewe Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
  13. F

    Maandamano yamefanikiwa ila lengo halikutimia

    Nadhani hawatapiga tena mkwara wa kuandamana. Faida ya maandamano ya upinzani ni uyatangaze halafu yakataliwe ili muanzishe MTITI na gavamenti sojaaz. MTITI unafaida sana ukipeleka picha za kuzinguliwa na virungu kwa wazungu.Sasa unaomba unakubaliwa fasta huku ni kupunguzana nguvu.. gavamenti...
  14. F

    Haya mabango ya Mama Samia kila kona, nani anagharimia? Yanatusadia nini kama nchi?

    Wewe nani anakugharamia bundle kuingia JF acha ungwendemba Dada Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
  15. F

    Ujio wa Nchimbi Kinana amepata amani ya moyo

    Na Bollen Ngetti KWANZA niwape pole wanaondelea kukumbwa na madhila ya mvua jijini Dar es salaam. Hali ni mbaya sana katika baadhi ya maeneo . Nyumba zinasombwa, watu wanakufa, mali zinateketea. Ni wakati mgumu lakini tushirikiane kujiokoa pale tunapoweza lakini pia kujifunza kwa yatokanayo...
  16. F

    Nani ataandamana?

    SIONI taabu kwenye ishu ya kuandamana ila nataka kufahamu NANI ATAANDAMANA? Ukiamrisha maandamano lazima uwe na mawasiliano na waandamanaji. Mawasiliano yenyewe ni nguvu ya muitishaji maandamano je ni kweli yeye ana nguvu hiyo? Anao ushawishi? Na vipi Chama kinachoitisha maandamano nacho pia...
  17. F

    Tusijenge majumba makubwa tukistaafu yanachangia upweke

    Habari zenu wadau. Napenda wote tujifunze kitu hapa kwa maisha halisi niliyojionea. Nilikua naalikwa na Mzee mmoja jirani mstaafu ambaye atakua na miaka 73 au zaidi. Siku zote tukikutana amekua akinialika nakosa muda. Jana roho ikaniambia, huyu Mzee kila siku anakualika kwake hembu nenda na...
  18. F

    Bandari ya Dar es Salaam yajivunia kuvuka lengo

    MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania TPA imetoa taarifa inayoonyesha mafanikio makubwa yaliyofikiwa na Bandari ya Dar es Salaam kwa mwaka jana. Akiongea mbele ya Waandishi wa habari Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania Plasduce Mkeli Mbossa amesema katika kipindi cha Julai...
Back
Top Bottom