Search results

  1. MwanaHabari

    Kulikuwa na Sababu ya Watoto wa Kikwete kuhudhuria sherehe za kuapishwa Mawaziri?

    labda waliitwa na baba yao...mbona familia za wanaoapishwa huwa zinaalikwa ikulu. Protocol haiwakatazi kuwepo pale, tena mwaliko wao ni Mkuu wa nchi.
  2. MwanaHabari

    Kishindo CCM ; Nape hatarini kung’olewa uenezi

    gazeti la rostam hili..haina dili habari hii..propaganda tu
  3. MwanaHabari

    Ya Kandoro inatisha... Ajiuzia gari la TZS milioni 300 kwa milioni 2 tu!

    Kwani just because ni vx haimaanishi serikali inanunuaga vx kwa stickr price, pili gari ni second hand, mnataka alipie sticker price, hamna depreciation bongo? aliyekuwa hazina aseme ilinunuliwa kwa sh ngapi bei ya serikali, hali ya gari sasa ikoje, matengenezo? iliwahi kupata ajali? mambo...
  4. MwanaHabari

    Vipi Afya ya Prof. Mark Mwandosya?

    hii ni pumba na chuki binafsi labda, tangia aingie ubunge mwaka 2000 amepita bila kupingwa jimboni kwake, amefanya kazi kwa vitendo nenda ukaone miradi na kazi alizofanya jimboni (umeme, maji, shule, barabara...etc)...kwasababu alikuwa waziri serikali tawala muda wote, maswali yote ya maendeleo...
  5. MwanaHabari

    Wikileaks' release on Tanzania Tanzania; August 2011

    C O N F I D E N T I A L DAR ES SALAAM 000277 SIPDIS DEPT FOR INR, R.EHRENREICH E.O. 12958: DECL: 02/13/2016 TAGS: PGOV PREL TZ SUBJECT: KIKWETE CORRUPTION TIDBIT Classified By: Ambassador Michael Retzer, Reason 1.5 (d) ¶1. (C) President Kikwete has accepted gifts (bribes)...
  6. MwanaHabari

    Wikileaks' release on Tanzania Tanzania; August 2011

    C O N F I D E N T I A L DAR ES SALAAM 000277 SIPDIS DEPT FOR INR, R.EHRENREICH E.O. 12958: DECL: 02/13/2016 TAGS: PGOV PREL TZ SUBJECT: KIKWETE CORRUPTION TIDBIT Classified By: Ambassador Michael Retzer, Reason 1.5 (d) ¶1. (C) President Kikwete has accepted gifts (bribes) from...
  7. MwanaHabari

    Luhanjo atoa ripoti, Jairo arudishwa kazini

    tunakoenda sasa...pabaya
  8. MwanaHabari

    Mwandosya ajiuzulu?

    Mwandosya hajamuandikia rais...wewe sasa elewa hiyo..kama nilivyosema dira inapotosha..umesoma dira? dira limesema ameandika barua ya kujiuzulu...ni uongo...anaendelea na matibabu na atarudi akimaliza matibabu. Anaendelea vizuri.
  9. MwanaHabari

    Mwandosya ajiuzulu?

    Mwandosya hajajiuzulu, ni propaganda za watu wenye agenda zao, Ikulu wangetoa statement na siyo "Dira"
  10. MwanaHabari

    Ufisadi mkubwa Wizara ya Maji

    report hii ilitoka 4 yrs ago, wizara ilisha jibu tuhuma...kulikoni inabidi wafanye homework kidogo.
  11. MwanaHabari

    Mgomo mkubwa wa wenye vituo vya mafuta 2011!

    Mbona signature yako imeandikwa lugha ya Malkia...acha kumuonea
  12. MwanaHabari

    Vigogo wa CCM wapewa fadhila ya viwanja Geza Ulole-Kigamboni

    hawana haki ya kununua viwanja? unaushahidi wamepewa bure?
  13. MwanaHabari

    Kuzirai kwa baadhi ya wananchi wa Igunga kutokana na kujiuzulu kwa Rostam!!

    msisikilize upuuzi huu, walilipwa hao...propaganda...
  14. MwanaHabari

    Mwandosya na Lipumba wafanyiwa upasuaji India

    Wote hawa walitibiwa Nchini halafu wakawa referred nje, kwa ushauri wa madaktari wa tanzania...
  15. MwanaHabari

    Mwandosya na Lipumba wafanyiwa upasuaji India

    Rada deal ilifanyika na kuwa signed 1998 mwandosya hakuwa hata mbunge, na hakuwa serikalini
  16. MwanaHabari

    Wasomi wa Tanzania wametoa mchango gani kwenye Taifa letu mpaka sasa?

    Uanasiasa siyo taaluma, ni haki ya kila mtanzania (msomi au sio) kuamua kuingia katika siasa
  17. MwanaHabari

    Ndege ya rais Tanzania ni mali ya CCM?

    Asante kwa kumueleza ndugu yetu, na to add to that hatuna ndege ya "rais", zote ni ndege za TGF na zinaweza kutumika kwa shughuli mbali mbali anyone can lease them if they can afford it. 5H-CCM (Fokker f28)imekuwepo miaka 33! nyingine ni 5H-TGF (Fokker F50) na 5H-ONE (Gulfstream G550)
  18. MwanaHabari

    Waislam Dodoma watoa Tamko kumwombea mwislam mwenzao Gaddafi

    I thought Nyerere despised Gaddafi (whole Kagera war fiasco..) why would he ask for a msikiti..from him or anyone for that matter. anyways, sheh mlevi huyo useless kabisa.
Back
Top Bottom