"Yuko sahihi mabasi social distancing, masoko yafungwe, michezo isimame, na ikipendeza mamlaka ka lokudown ka miezi mitatu na wiki 4 itafaa kudhibiti hili. Kama Rwanda, Uganda, Kenya na wengine wanafanya sisi ni nani tusifanye?" Alisikika brazaj akisema
Wewe ndo ujifunze hili "Reforms na reorganization huja kwa taswira tofauti". Mkapa aliamua reforms zake na Magu akaamua za kwake. Kila mmoja kwa namna alivoona inafaa. Na Samia akiamua atafanya za kwake kwa sababu serikali kuu iko juu ya za mitaa.
Nyerere yeye alizifuta kabisa halmashauri za nchi nzima na kuzirudisha tena mwaka 1982...humu mmejaa watoto kumbe msojua historia na nguvu ya kimahusiano baina ya serikali kuu na serikali za mitaa
Lilipovunjwa na Mkapa na kuanzishwa Tume ya Jiji madiwani walishirikishwa? Kama hana uelewa wa nguvu na mahusiano ya kisheria baina ya serikali kuu na serikali za mitaa anatakiwa akajifunze hilo kwa kina
Huoni kuwa hapo ni UN general assembly? Waandishi hawawezi kupeleka mic zao. Ni sawa na bungeni kwetu ambapo kuna mfumo uliotayari ambao huo ndio utafeed vyombo vingine vya habari
Kwa hii thinking ya Malisa hua nashangaa anapowekwa kwenye daraja la juu la "wenye akili kubwa " kuliko kina Nick wa pili, Jokate nk kwamba yeye alipaswa zaidi kuwa DC kwa kuwa yuko juu yao.
Katika hali ya kawaida unapoteuliwa na mwenyekiti wako kwenda kutumika sehemu nyingine utapinga vipi...
Inakupa faraja? Wakati uhalisia wa mtaani ni tofauti kabisa. Pita hospital yoyoted dsm niambie watu wanofika hapo kama wanavaa barakoa..hapo sijaongelea vyombo vya usafiri, taasisi za elimu, viwanja vya michezo, masoko na nk
Unapata ahueni ya kisaikolojia unapojidanganya akili yako unaongea mambo magumu watu wanajishindwa kuyaelewa. Ni ugonjwa wa akili. You need to be confined and institutionalized seeing a psychiatrist might save you.
Ni nadharia tu unazosadifu hapa. Ushakiri katiba zote zina mapungufu. Na pia hakuna katiba ya "wananchi" ila kuna katiba ya wenye sauti "elites" yaani hapa utasema kina sarungi na f karume na ngos people/wanaharakati ndio wananchi kisa wao wana sauti kubwa na wamejitwisha jina "wananchi"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.