Ulikuwa mwema binti mpole, mavazi ya kiafrika kutoka kijijini, ulipofika mjini ofisi ikakuamini ikakupa kazi, ofisi ikakufundisha na mavazi ya kuvaa binti, ukakubali ukaanza kuvaa European style, hukuishia hapo ukafanyika organizational marketing binti wa watu, ukaanza kunawili kwani hukupata...
The energetic used by the teacher to impart knowledge and skills to 21th century children is indirectly proportional to the content they pay back.....🤔🤔🤔mtu za physics tu ndio zicomment mtu za linguistic mtaanza ku correct Grammer siwataki😄
Kurasa zote Za mitandao ya kijamii za CAF Wanapost habar za wachezaji na clip za timu za bongo baada ya kugundua kuwa wabongo tunapenda Sana ku comment Mambo yanayohusu timu zetu 😄😄😄
Duniani kote nchi zilizoendelea zinategemea uwepo wa nishati bora katika kufanya shughuli zake, nchi maka Marekani, Urusi, china na nyinginezo zimeendelea kwa sababu ya ubora wa nishati wanayoitumia.
katika miaka ya hivi karibuni nchini Tanzania kumekuwa na jitihada mbalimbali za kusaidia...
Vijana nchini tumekuwa watumwa, kwenye Kaampuni kutwa tunashinda tumevaa tshirts yenye logo za kampuni na hatulipwi ipasavyo
Kukitumika kivuli cha kujitolea tuvaa nguo za kampuni kuliko mavazi yetu tuliyonunua dukani. imagine six days uko na tshirt ya kampuni na Jumapili pekee kwa Kanisa ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.