Ndio maana ukitaka uibe vizuri ingia kwenye mfumo ila ukifanya wewe kama wewe hata laki moja utaolewa kafara na kuwa mfano kuzuga wapumbavu waliojaza hii Nchi..
Sheria haitachukua mkondo wake Kwa sababu wizi huu ni WA kimfumo yaani unaratibiwa na Serikali yenyewe,hata hao wabunge huwa wanapiga makelele kwa sababu tuu hawakuoata mgao,hao ndio Watzn sasa..
Labda like chama Kipya ila nao utasikia wanakwambia hatufukui makaburi yaani ni upuuzi.
Kama ni uongo unaweza peleka uongo Bungeni? CAG anaweza andika uongo?
Unadhani kukamata ni jambo dogo? Mwendazake na makelele yake yote alimkamata nani kwa ufisadi? Mbona asimkamate JK?
Kwani JK alivyoambiwaga amkamate Mkapa kwa ufisadi aliwajibu nini?
Kutokamatwa hakuhalalishi kwamba ni...
Usiwe unabisha upumbavu upumbavu,kwanza unaelewa Tanesco wanavyofanya Kazi? Tanesco huwa Wana hard cash wanapofanya shughuli zao..
Mwisho kuna video hapo refers maelzo ya mbunge akinukuu taarifa ya CAG ndio uje kuropoka Hapa.
Hii nguvu ya makelele ya kwenye ndege umewahi ifanya kwenye mabasi?
Aisee mtu wa chini sio wa kuwachekea hao watu ndio maana kiufupi nilishaacha Kushoboka na wanasiasa na wenye vyeo na pesa,kila mtu ajipambanie.
Wewe umewaza kama Mimi,hadi dkk hii sijaela papara na mihemko ya huko kwenye ndege wakati kila siku ajali zinaua watu zaidi ya hao 19 lakini husikii makele..
Pamoja na kwamba watu wamefariki nimeshindwa kabisa ku feel machungu kutokana na dharau zinazofanywa kwa abiria wa mabasi.
Wakuu niwape hongera kwa kuchapa Kazi..
Mbunge wa Loliondo akijadili taarifa ya Laac na Pac Bungeni amenukuliwa akisema Afisa Masuuli wa Halmashauri ya Loliondo alikwapua pesa za Umma zaidi ya mil.341 zilizotolewa na Tanesco kwa ajili ya Fidia kwa wananchi na kutokomea nazo kusikojulikana...
Fikeni kwanza hapa ndio tuendelee na battle vinginevyo tuanzishe battle ya Dom vs Arusha walau Chuga inaweza jitutumua ila Mwanza bado sana Kwa Dodoma 👇
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.