Director wa TIC Ms.Kairuki ina semekana ana nyanyasa wafanya kazi bila kujali....hata Kama ana ni matatizo ya kuuguliwa ghafla kwa watoto na pia ana kauli chafu sana...Hebu wanao mfahamu vizuri watueleze...
Serikali haina dini ila ina wajibu wa kikatiba tutetea na kuhakikisha kila mtu ana haki ya kuabudu dini aipendayo. Katika swala la kuchinja...Watanzania wengi wamekua na desturi ya kuheshimu dini za watu wengine kwa kuwaachia wachinje haswa wanapokua waalikwa katika chakula husika.
Mimi...
Tuchukue hatua moja nyuma na kujiuliza mambo machache. Kwanza; hili suala la gesi,tuseme inabaki Mtwara je Mtwara watafanya nini nayo? Lazima kuwe na mpango maalumu wa kutumia gesi, kama kuzalisha umeme kwaa jili ya kusambaza nchini na matumizi ya viwanda. Kitukingine ni kuandaa watu wenye ujuzi...
NDUGU ZANGU,
HILI SUALA MNALIONAJE MAANA NAONA SASA LOBBYING INACHUKUA PICHA TOFAUTI KABISA KATIKA NCHI YETU. GHAFLA INAYO ANDALIWA NA VODACOM KUHUDHURIWA NA WAZIRI MKUU AMBAYE NAFASI YAKE KATIKA SERIKALI NA BUNGE INAELEWEKA, SPIKA WA BUNGE, MAWAZIRI NA WABUNGE...
What he said was an inslult to all Tanzanians, There is no electricity, books, madawati and most can not even afford to pay for their primary education. It is a shame to the country and to all of us. This is the problem of having a president with no Vision of where he wants to take the country...
Greatings to my fellow country men and women. Today i would like to recomend a documentary that explains some of the reasons why Africa and other poor countries will continue to be poor. Please watch this movie and let us brain storm on the situation.
The End Of Poverty
Some of what they are...
I hope some one will check his kids to make sure they have not been abused.
Pole kwa walio tendwa mabaya. These kind of people do not deserve to see a day of light out.
Mimi nawaambia serikali inacheza! Inabidi watu aandamane kutaka hatua kali zichukuliwe. Nilishasema inabidi kunyonga watu kadhaaa adharani ili jambo litaisha!!! Mimi naona raisi anacheza, inabidi ku-push ili hawa watu wahukumise haraka sana.
Unayo sema ni kweli. Swali ni hili, tunamiliki jengo la ubalozi wetu Marekani "DC"? Kama hatumiliki, kwa nini tusi nunue maana bei imeshuka karibu kwa asilimia hamsini? Ooooh! Nmesahau viongozi wetu hawajui kinachoendelea duniani.
Nadhani wakati umefika wakuanza kunyonga watu hadharani ndio hili swala litaisha!!!! I am not even jocking!!!! Ukikamata na kunyonga watu wawili watatu nadhani mambo yatakua safi tuu!!!
Nadhani itakua vizuri kuwafunga na kuchukua malzoe ambazo zimepatikana kutokana na ufisadi huu. Nadhani kwa watu walosoma sheria kuna hukumu zinazo tolewa ili iwe mfano kwa watu wengine. Nadhani hili linahitajika sana sasa hivi. Kitu wanacho weza kupewa labda ni kupunguziwa hukumu kidogo labda...
Nakubaliana na wewe asilimia miamoja nakitu kingine lazima ukumbukee nikwamba, matatizo katika nchizote za Afrika yameanza katika migogoro ya ardhi. Juzi tu wakenya wame kimbizana kilammoja anamwambia mwenzake ondoka katika ardhi yetu rudi kwenu huko...Sasa Nyerere alipo tangaza kwamba ardhi ni...
Hahahha!! Umenikumbusha mbali sana!!!!!!!!
Mwaliu Hatibu alimkuta mshikaji amekaa juu ya meza, akamwambia kipindi chote akiwa anafundisha jamaa akae kwenye meza na kuandika kwenye kiti! Halafu hatanii, lasivyo viboko! Mama Mbaga yeye alikua wa Historia, mwalimu safi sana. Binti yake alikua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.