YES, Ushindi wa Faustine Ndugulilekama Director wa WHO - Africa Division, analazimika kuachia ngazi nafasi ya Ubunge wa Kigamboni.
Kulingana na kanuni na polcies za UN na mashirika yake yote bna hata zikiwemo taasisi nyingine za Kimataifa kama vile World Bank IMF etc Unapochaguliwa au kuteliuwa...
Kwani si ndiyo maana Starlink walifanyiwa mizengwe na serikali kuja kutoa huduma yao Tanzania.
Wakati Starlink ilipoamua kuja na pilot plan yake ya kuja offer cheap accessible internet services Afrika, Tanzania ilikuwa ni moja ya nchi ambayo illiichagua iwe kwenye mpango wa majaribio kwa kutoa...
Eheeeh! Hivi ndio Cha Cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) kilichokuwa kikifanana na TLS yetu (orijino) ya enzi na zama zetu hizoooo. za akina (Suleiman bin Rashid:-).
Kwa kifupi, yaani Kofia ya TLS inafanya kazi (ya kupaza Sauti) hadi raha. Yaani kusema TLS ndio imeasisiwa upya leo.
Kwa ufupi kwa Sasa ndani ya CHADEMA kuna ufa mkubwa. Na kwa yule asielewa maana utaona ni kwa nini juzi Ezekiah Wenje (Mmwenyekiti wa CHADEMA, kanda ya Ziwa) ametangaza rasmi kuwania nafasi ya Tundu Lissu (U-Makamu Mwenyeki Taifa).
Haya na tuendelee kuisoma picha:-)
Labda nimsadie tu mleta mada, alicholenga kusema ni hivi... "Milima huwa haikutani lakini Wanadamu hukutana"...Si hilo tu jamani:-) Au?.
Anyway, mimi nilikuwa napita tu hapa....baadae:-)
Jambo hili Ki sheria liko hivi:
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania za sasa mtoto wake anachostahiki ni kupatiwa Tanzanian passport tu (Na sio cheti cha kuzaliwa cha Tanzania). Na wakati wa ku apply hiyo passport wataitisha birth certificate ya Kenya na kumtia kwenye passport faili yako (kama Baba...
Naomba kuunga mkono hoja shehe wangu mia kwa mia:) Wala huna haja ya kumwaga Ma - Sura wala Ma - Aya... Tunajionea wenyewe yanajiri na kuendelea nchini kwa sasa.
Disclaimer: Imani yangu haifungamani na dini yeyote.
Maandiko matakatifu yanatushauri na kutuasa kuwa na "Na tunene kwa busara na hekima"....Na pale tunapojisikia kupungukiwa na vitu hivyo basi tunaaswa kuwa na "tukae kimya"......(yaani "Ukimya" unatosha)
Napata wasiwasi na 'busara na hekima' ya kiongozi huyu mwenye njozi ya kuwa IGP......Hivi...
Sikia, serikali ilisha azirika vibaya tu na kupata soni (haya). Katika harakati za kutafuta pa kutoke baada ya kuona imeshafanya blunder nzito ndio imeamua kujitoa kwenye kesi Ki aina kukwepa fedheha zaidi.
Waswahili wanasema mtu mzima ukivuliwa nguo "Chutama". Kwa maneno mengine serikali...
Kweli nimeamini sasa kuwa moja ya sifa ya kuteuliwa kuwa DC au RC ni kujua "kusoma na kuandika" tu basi ( Na si habari ya kufika sijui darasa la ngapi, diploma au degree kama wengine wanavyofikiri).
Ubabe wa RC katika utekelezaji wa zoezi la kujenga madarasa kwa staili ya zimamoto linakiuka...
Ndugai bwana! Mtu mzima anayejitoa ufahamu na kuwa Mtu mzima hovyo? Hivi kweli hamjui ni nani anayecontrol matumizi ya serikali kwa sasa?
Labda tungeanza kwa Muuliza kuwa hapo zamani za kale aliyekuwa ana control matumizi ya serikali ya awamu ya iliyopita (ya tano ) alikuwa nani?
Asitake...
Mama anampiga kijembe cha haja "Gwajiboy" kwa kuuliza kwa kusanifu...."Kawe tunachanja ama hatuchanji"...naona Gwajiboy ameshikwa na kidaka...."Ana-smile" Ni hakika Moyoni ananajua mtihani huo:) teh teh teh...Anaikwepa kuijbu kistaaarabu kauli hiyo ya Mama anabakia kusema... "Mama watu wa Kawe...
Halafu ndo ingekuwa kweli ni Uchumi wa kati walau inge make a sense.....lakini sio uchumi wa kati ya "Ripoti za Ki-Nadharia" za kubumba:-)....Ni viini macho na ndio maana WaTanzania wanateseka sasa.
Maana ukishaingia uchumi wa kati nchi inakuwa hai-qualify hata kufaidika na mipango kuinua...
Ni Afadhali Mmarekani angewekeza na kwenye kiwanda cha kubangua kwanza. Sasa viwanda vilivyopo uwezo wa kubangua ni tani 60,000 wakati uzalishaji ni zaidi ya tani 300,000. Hapo unaweza kuona shida ilipo
Halafu unasikia ATCL inatengeza hasara za Mabillioni na Wa-Tanzania wanashangaa? Itatengeneza faidi saa ngapi wakati midege yenyewe inafanywa Uber na Ikulu badala ya kuchacharika kusafirisha abiria huku na huko. Ndege ya Rais ipo wameitupilia huko?
YES, Kiongozi kama Papa hutumia ndege ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.