Search results

  1. M

    Ujue ufisadi huu POLISI

    Pole sana ndugu yetu. Hiyo ni Dar es salaam sasa ingekuwaje kama mambo hayo yangekukuta mikoani?. Tanzania tunahitaji kubadilika ili tuweze kwenda sambamba na nchi zingine. Lakini ungekuwa na jina zito ama unatokea katika familia yenye jina kubwa hapa Tanzania basi ungesaidiwa palepale kituoni...
  2. M

    Link: JK - CHADEMA

    Samahani naomba kukuuliza swali. Una umri gani na una shule kiasi gani?
  3. M

    Je Halali Kwa Balali Kuzikwa Usa?

    Hayo ni matakwa ama maamuzi ya marehemu.
  4. M

    Mkapa above the law?: Allegations

    Ningependa kutoa wito kwa watanzania wote popote pale walipo wakiwaona mafisadi ni kuwazomea mtindo mmoja na ikibidi kuandamana hadi majumbani kwa hayo mafisadi tufanye hivyo, na tuone kama polisi itakamata watanzania wote milioni 35
  5. M

    Daudi Ballali's Death

    Huu ni uwongo 110%. balali si mtu mdogo namna hii, kama angekutwa na mauti ofisi ya balozi wa tanzania nchini America wangejua na wangetoa taarifa kwani hakuna sababu ya kuficha kifo.
  6. M

    Mkapa above the law?: Allegations

    Hakuna wa kumkamata Mkapa. Tutasema na kuimba nyimbo zote za kulaani ufisadi lakini kumkamata Mkapa ni ndoto za mchana. Bunge letu haliwezi kumwondelea immunity kwani 90% ya wabunge ni kutoka CCM na karibu wote wako pale bungeni kwa ajili ya matumbo yao si kwa ajili ya wapiga kura wao. Na kama...
  7. M

    Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

    Asante kwa kunielewa katika hili jambo. CCM na serikali tawala inatumia katiba iliyopo kujikinga kwa mengi mabaya na machafu yanayotendwa na serikali yao. Mkapa angeshakamatwa na kufikishwa mahakamani kama kusingekuwa na katiba hii. Na ni imani yangu kubwa kwamba BABU WA UCHAFU NA UFISADI WOTE...
  8. M

    Mkapa above the law?: Allegations

    Madudu yote anayopigiwa kelele Mkapa aliyafanya kipindi kile akiwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Alitumia madaraka yake na ofisi yake kujilimbikizia mali na utajiri jambo ambalo ni kinyume na sheria za nchi zinavyosema. Lakini sasa ukweli unabaki palepale kwamba huyu Mkapa anajua...
  9. M

    Mkapa above the law?: Allegations

    Mkapa hana muda wa kujibu tuhuma hizi, anajua kabisa kwamba hawezi kufanywa lolote na yeyote katika Tanzania. Katiba ya nchi ina mlinda kwa 1,000,000,000,000,000% Tungebadilisha katiba lazima Mkapa angepatwa na tumbo la kuharisha. Mtu kama Yona anaongelea mgongoni mwa Mkapa, kwa uchafu wote...
  10. M

    Mkapa above the law?: Allegations

    Asanteni sana kwa kichekesho cha kufungia wiki. Katiba iliyopo sasa inasemaje kuhusu Raisi Mstaafu?. Mkapa ametumia mwanya wa katiba yetu mbovu kutuibia mabilioni na hana mpango wa kujibu tuhuma wala kurudisha mapesa yetu. Tulilie katiba mpya kwani bila katiba mpya ukombozi ni kichekesho...
  11. M

    Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

    Ninapenda kuwapongeza JF family kwa juhudi kubwa mnaifanya ya kuyaanika mabaya na machafu yote yanatokea ndani na nje ya Tanzania kwa lengo la kuikomboa nchi yetu. Bila shaka vilio na kelele za wana JF vinasikika, lakini nadhani tatizo kubwa katika ushughulikiaji wa vilio vyetu ni katiba...
  12. M

    Haitoshi! - Chenge jiuzulu na Ubunge!

    Sawa kabisa bwasheee. Haya yote ya ufisadi kwa sasa hatuwezi kufanya kitu chochote zaidi ya kupiga kelele tu hapa. Tugombanie katiba mpya kwanza.
  13. M

    Mwaka mgumu kwa mafisadi: Wananchi Buzwagi wafunga mgodi wakitaka fidia

    Kwa hili jambo wananchi wa Buzwagi wana haki zote za kufanya hayo wanayofanya kama hawajalipwa fidia ama kama hawaoni faida wanayoipata tokana na mgodi huo.
  14. M

    Haitoshi! - Chenge jiuzulu na Ubunge!

    Asante kwa hoja yako. Lakini ni kipengele gani katika katiba yetu kinadai kwamba waziri akijiuzulu uwaziri ni lazima ajiuzulu na ubunge alionao?. Nadhani ingekuwa ni hekima kutoa ombi kwamba kama uwezekano basi kipengele hicho kiwekwe ndani ya katiba yetu.
  15. M

    Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

    Nimelielewa swali vizuri kabisa na bila shaka nimekujibu. Watu wa usalama wa Taifa hawana mamlaka ya kuzuia mijadala katika bunge. Hiyo barua unaweza kuimwaga hapa JF ili tuone ukweli huo?.
  16. M

    Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

    Wewe mdada huyu jamaa ana mamlaka gani ya kuzuia barua kama hizo ndani ya bunge?. RO siyo spika wa bunge na wala hana mamlaka kama hayo ndani ya bunge. Ni spika ndiye mwenye mamlaka kama hayo.
  17. M

    Rashid Othman: Umeshindwa Jiuzulu!

    Jamani habari zenu. Nimekuwa busy kidogo na shughuli za kujenga Taifa na kwa sasa niko Mpanda kikazi. Kuhusu huyu muungwana tunayetaka aachie ngazi naomba kuwamegea mawili matatu ambayo bila shaka tukichanganya na mengi yalisemwa juu yake yanaweza kabisa kutusaidia kufikia uamuzi. Huyu jamaa...
  18. M

    JK awasili USA

    Hakuna haja ya kwenda kukutana nae msanii huyo, hana cha maana bali ni nyimbo zilezile za kila siku za kuunda tume. Na hata watz wachache watakao jisikia kwenda kukutana nae dawa ni kumzomea kwa kila kitu atakachozungumza mpaka awakamate mafisadi wote. Anajifanya kimbelembele kufuatilia...
  19. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Ni wazo zuri sana hili. Lakini nilikuwa naomba kutoa ushauri ili kufanikisha zoezi hili vyema. Kwanini tusifungue mashitaka juu ya mafisadi yote kwa pamoja badala ya kumpeleka Chenge pekee yake mahakamani?. Hapa nina maana Mkapa, Yona, Mkono, Chenge, Mgonja, Mramba, Karamagi, Msabaha, Lowasa...
  20. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    kwa mara ya mwisho tuliambiwa yuko safarini na Muheshimiwa Raisi nchini India, China na America. Sasa hatuna uhakika yuko wapi baada ya msanga huu kufumuka.
Back
Top Bottom