okay Dr labda sijaeleweka nachojaribu kutafuta ni watu wenye mizigo aina mbalimabli wanao taka kununua ama ku uza huko Korea , china ama U.S. Mfano nilitegemea mtu aseme
“Nina maindi tani 60 naweza uza?/ nina kuku laki 8 / nataka niagize Apple za korea n.k”
Nimeuliza hivyo maaana mizigo aliosema...
Habari za muda wanajukwaa.
Mimi nina rafiki yangu aliepo Asia (korea) wakati wa kujadili Idea za hela akaniambia yeye anafanyaga pia International trade.
Akaniambia kuwa maaana yake ni yeye ni mtafuta masoko wa kimataifa anatuma mizigo kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine ama bara jingine...
Habari?
Jina Langu ni Mr Equator. Ni kijana ambaye najaribu kuyatafuta maisha. kwa njia mbali mbali.
Nimekuwa nikitafuta wazo la biashara ya pembeni (Side-hustle) ya mtaji kati ya Laki 1-2. Kwenye pita pita zangu nimepata wazo la biashara ya bahasha na nika angalia video baadhi Youtube. Nika...
Asante kwa huo mchanganuo! Nimependa uliposema "daaah nilishangazwa na ile starehe."
Hapo nina maswali matatu.
1 Nini kilikua chanzo kikubwa cha kununua mashine ni pesa zipo ama uliona kufua ninkazi?
2 Lakini pia kwenye auto umesema inakula maji je na semi-auto?
3 Ulipitia mchakato gani kuja ku...
Kuna utofauti gani kati ya automatic na semi_auto? Nina rafiki yangu akiskia kuhusu washing mashine anatamani kulia kwa inavyo kula umeme na maji! Aliokuwa anatumia ni Full-auto . Zina tofauti za watts? Ama ni ufuaji?
Na kuhusu sabuni ya kufulia inakuaje unatumia detergent gani je ni kweli...
Asante kwenye matumizi ya umeme unadhani itakua ni la kutisha sana? Ama ipo Reasonable?
Lakini pia makampuni ni yapi hapa Bongo nimeyaona ya von , delta na kampuni ambazo sijawai sikia!
Yeah sorry ni semi-automatic.
Nlitaka kitega uchumi ambapo ntaweza kufua nguo labda 80 kwa siku!
Hapo pia kutakua na mchanganyiko wa mashuka mapazia na ma blanket haya ya kilo 4-6. Kifupi ni nguo za watu wa kawaida nataka kuwafanya kuwa soko langu!
Habari @The hitman @mng'ato na mtoa Mada yani @Transitor na wengine wote ningependa kujua zaidi kuhusu "Washine Mashine" Nina mpango wa kupangisha single room na nataka kununua washing-mashine ya Kg 7-9 zile za manuall ambayo nataka niwe natumia kufua nguo zangu na pia niwafulie na watu ki...
Naomba nikuulize Sexless
Umeona magari mangapi kwenye parking ya Breakdown yale yalio haribika kindakindaki? ,Lakini bado una ndoto za kununua gari!
Umeona simu ngapi kaliii zipo kwa fundi zinatumika kama skrepa ? Lakini bado unataka kupata simu kali hata inaweza isiwe kama ile!
Umeona...
My soulmate / Mwenzi wa roho yangu.
Sehemu ya 27.
Somalia kwenye kikosi cha M16:
Gari lilisimama akashuka mkaka mmoja ambaye alionekana kuwa wa kupendeza na mtanashati. Akashuka mdada mwingine ambaye ni mrembo kweli kweli mwenye umbo la kuvutia na kupendeza.
Wakaka wa kambi hiyo pindi walipo...
My soulmate .Mwenzi wa roho yangu
Sehemu ya 26.
Ndani ya ofisi ya Sambeke inc:
Braiton alitoka nje kuongea na simu ya Anitha.
Anitha : Mambo Braiton? , Mpenzi wangu!.
Braiton : Poa mambo Anitha mzima?.
Anitha : Mimi mzima lakini kwanzia juzi jumamosi sijaku ona!.
Braiton : Kwa hiyo umeanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.